figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya.
Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro.
Geita kuna laana
Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa mpira pale shule ya msingi Kalangalala lakini Halmashauri wakakataa wakataka GGM ikabidhi fedha Halmashauri then Halmashauri ndio ijenge huo wanja, GGM wakagoma mpaka leo uwanja umetelekezwa. Na hakuna anayejali.