Geita ni Mkoa wenye dhahabu nyingi nchi nzima na hii ndio Standi yao ya Mkoa ya Mabasi

Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya.

Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro.

Geita kuna laana

Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa mpira pale shule ya msingi Kalangalala lakini Halmashauri wakakataa wakataka GGM ikabidhi fedha Halmashauri then Halmashauri ndio ijenge huo wanja, GGM wakagoma mpaka leo uwanja umetelekezwa. Na hakuna anayejali.

View attachment 2434700
View attachment 2434708
stend au bwawa la samaki mjini?
 
GGM walihisi nini hata wakagoma kulikabidhi fungu?
 
Back
Top Bottom