Geita ni Mkoa wenye dhahabu nyingi nchi nzima na hii ndio Standi yao ya Mkoa ya Mabasi

Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya. Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro.

Geita kuna laana

Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa mpira pale shule ya msingi Kalangalala lakini Halmashauri wakakataa wakataka GGM ikabidhi fedha Halmashauri then Halmashauri ndio ijenge huo wanja, GGM wakagoma mpaka leo uwanja umetelekezwa. Na hakuna anayejali
View attachment 2434700
View attachment 2434708
Viongozi wa geita, kahama ni wapigaji wazuri sana,, kote huko miundo mbinu ni very poor,, mfano kahama, sasa inaanza kuzidiwa na igunga kwa miundo mbinu,,
 
Dr Samia kapendeza Hadi raha na hapa asisingiziwe dhahabu haijaanza kuchimbwa awamu ya 6..

Hata Kahama Kuna migodi mpaka dhabu umeisha Ila Hakuna hata stand [emoji12][emoji12]
Kwa hiyo tunakubaliana kuwa sisiemu ni wezi na hawafai kuongoza nchi?
 
Kote kunakotoa dhahabu kupo hovyo sana. Fika huko Chunya, wanatoa dhahabu toka uhuru lakini hata maji ya bomba hawana.
 
Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya. Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro.

Geita kuna laana

Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa mpira pale shule ya msingi Kalangalala lakini Halmashauri wakakataa wakataka GGM ikabidhi fedha Halmashauri then Halmashauri ndio ijenge huo wanja, GGM wakagoma mpaka leo uwanja umetelekezwa. Na hakuna anayejali
View attachment 2434700
View attachment 2434708
Haya ya kawaida kwa Tanzania..!! Stendi ya Mtwara inakotoka gesi asilia unaijua ilivyo..?? Nkanaledi si unaijua?
 
Nadhani kati ga mwaka 2010 hadi 2012 stamdi hii ilikuwa imejengwa tena kwa pavement kabisa..... shida sijui ni mkandarasi ama nini maana ilitengeneza mabonde mapema sana hatimaye imekuwa hivyo
 
Hapo huwezi kujenga standa kwa chini ni Mahandaki matupu ya machimbo ndio maana kile kifusi kinarudishwa ili kurejelesha ubora na mfumo wa ardh na watalaamu Kisha standa ijengwe ,GGM watajenga stand ya kishua Sana ni suala la muda subiri warudishe kifusi

USSR
Nani kawaroga nyie?.
 
Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya. Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro.

Geita kuna laana

Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa mpira pale shule ya msingi Kalangalala lakini Halmashauri wakakataa wakataka GGM ikabidhi fedha Halmashauri then Halmashauri ndio ijenge huo wanja, GGM wakagoma mpaka leo uwanja umetelekezwa. Na hakuna anayejali
View attachment 2434700
View attachment 2434708
Ndio maana Trigray wanapambana HUKO ETHIOPIA kujitenga ili wajitegemee. KANDA YA ZIWA YOTE INA MADINI KILA SEHEMU.
 
Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya. Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro.

Geita kuna laana

Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa mpira pale shule ya msingi Kalangalala lakini Halmashauri wakakataa wakataka GGM ikabidhi fedha Halmashauri then Halmashauri ndio ijenge huo wanja, GGM wakagoma mpaka leo uwanja umetelekezwa. Na hakuna anayejali
View attachment 2434700
View attachment 2434708
Huo uwanja wa Mpira ungeleta Maendeleo gani hapo Geita? Hakuna vitu vya msingi ya kufanya na hao.GGM hadi wanajenga uwanja?
 
Hapo huwezi kujenga standa kwa chini ni Mahandaki matupu ya machimbo ndio maana kile kifusi kinarudishwa ili kurejelesha ubora na mfumo wa ardh na watalaamu Kisha standa ijengwe ,GGM watajenga stand ya kishua Sana ni suala la muda subiri warudishe kifusi

USSR
GGM ndio wanakusanya kodi? Whay wasoulizwe CCM?
 
Dongo jekundu la Geita halifikii dongo lile la Kibondo, Kasulu, Songea na Kisarawe.
Najiuliza tu, kama Geita inavyoonekana kwenye picha haitofautiani na Kibondo, kwa nini dhahabu isitafutwe Kibondo pia?....
Ikumbukwe kuwa Runzewe kwenye dongo jekundu, iligundulika dhahabu pia. 🤔
 
Back
Top Bottom