Geita ni Mkoa wenye dhahabu nyingi nchi nzima na hii ndio Standi yao ya Mkoa ya Mabasi

Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya. Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro.

Geita kuna laana

Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa mpira pale shule ya msingi Kalangalala lakini Halmashauri wakakataa wakataka GGM ikabidhi fedha Halmashauri then Halmashauri ndio ijenge huo wanja, GGM wakagoma mpaka leo uwanja umetelekezwa. Na hakuna anayejali
View attachment 2434700
View attachment 2434708
Hata Magufuli hakuweza kufanya kitu manake anajua nyumbani kwake ni Chato wala sio Geita! Ubinafsi ulimzidi.
 
Nasikia pia kuwa fisi ni wengi kuliko watu hapo mkoani.
 
Kwa kifupi Ni kuwa huu mkoa kusijengwe chochote Cha kidumu inasemekana Ni ardh yenye dhahabu tupu
Usikute na stand yenyewe chini hapo dhahabu tupu! [emoji1787][emoji1787]
 
Kuna jamaa nae alishswai kuniambia gono .na ngwengwe Ni rate Ni kubwaa

SAS je tuwalumu ccm na serekali kwa gono[emoji23]
Halafu kwanini wanawake wa geita wengi wanaumwa gono na kaswende sugu?[emoji848].......geita kati ya wanawake 10 utakuta 7 wana kaswende au gono
 
Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya. Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro.

Geita kuna laana

Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa mpira pale shule ya msingi Kalangalala lakini Halmashauri wakakataa wakataka GGM ikabidhi fedha Halmashauri then Halmashauri ndio ijenge huo wanja, GGM wakagoma mpaka leo uwanja umetelekezwa. Na hakuna anayejali
View attachment 2434700
View attachment 2434708
Hapa ni kijijini?
 
Mbunge wa Geita Msukuma na genge.lake ls madiwani na halmashauri pesa za marahaba huwa wanazitafuna

Miaka yote migodi inatoa mabilioni ya pesa mirahaba Geita inaishia kwenye matumbo ya mbunge Msukuma na madiwani waliopo sasa na vibaka wa halmashauri

Raisu Samia hakikisha hakuna mbunge aliyeko sasa au diwani aliyepo sasa wa kurudi kwenye uongozi 2025 Kateni majina juu kwa juu wekeni wapya
Msukuma ni mbunge wa geita vijijini na sio mjini.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Hizo sehemu zenye madini kama zimelaaniwa maendeleo huwa hakuna kabisa.
 
Kuwa na Mali sio lazima pia kwamba utakuwa na akili.

Stand ya Mangaka Halmashauri ya Manyumbu imejengwa kwa mapato ya ndani,huko Hakuna dhahabu Wala Nini..

Kupanga Ni kuchagua 👇
Screenshot_20221204-133540.png
 
Msukuma ni mbunge wa geita vijijini na sio mjini.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Vyovyote yale yale tu kwani Geita vijinini kuna stendi gani ya maana ya Halmashauri wakati hupokea mirahaba

Asante kusahihisha kifupi wabunge wote na madiwani wa mkoa wa Geita mjini na vijijini 2025 wafungashwe virago
Wapishe wengine CCM ikate majina yao juu kwa juu
 
Kungekuwa na utawala/mfumo serikali za majimbo hili lingekuwa jambo dogo sana kushughulikiwa hata miaka 40 nyuma.
Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya. Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro.

Geita kuna laana

Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa mpira pale shule ya msingi Kalangalala lakini Halmashauri wakakataa wakataka GGM ikabidhi fedha Halmashauri then Halmashauri ndio ijenge huo wanja, GGM wakagoma mpaka leo uwanja umetelekezwa. Na hakuna anayejali
View attachment 2434700
View attachment 2434708
 
Kinachotakiwa ni mfumo wa serikali za kimajimbo, Halmashauri ni kama rubber stamp tu kwa wanayotaka serikali kuu.
Mbunge wa Geita Msukuma na genge.lake ls madiwani na halmashauri pesa za marahaba huwa wanazitafuna

Miaka yote migodi inatoa mabilioni ya pesa mirahaba Geita inaishia kwenye matumbo ya mbunge Msukuma na madiwani waliopo sasa na vibaka wa halmashauri

Raisu Samia hakikisha hakuna mbunge aliyeko sasa au diwani aliyepo sasa wa kurudi kwenye uongozi 2025 Kateni majina juu kwa juu wekeni wapya
 
Geita nzima ghorofa la maana ni la Otonde,geita haina hadhi ya kuwa makao makuu ya mkoa,inazidiwa hata na lindi na singida,mji hauleweki batrabara za mitaa hazina lami kasoro moja tu inayopita jimbo
 
Vyovyote yale yale tu kwani Geita vijinini kuna stendi gani ya maana ya Halmashauri wakati hupokea mirahaba

Asante kusahihisha kifupi wabunge wote na madiwani wa mkoa wa Geita mjini na vijijini 2025 wafungashwe virago
Wapishe wengine CCM ikate majina yao juu kwa juu
Hiyo stend ya Gita ilijengwa mwaka 2008 kuelekea uchaguzi wa 2010 na ujenzi wake ulikuwa chini kiwango hata paving zake zilikuwa feki na baada ya mwaka mmoja stendi yote ilkuwa ni mashimo na iliyoharibika vibaya sana!

Tatizo la Geita ni wanageita wenyewe kukumbalia vilaza kama akina Musukuma wao wanajua wakiwa na vihela vya dhahabu wamemaliza badala ya kuboresha huduma za jamii wanakalia kuvimba na utajiri wao binafsi bila kunufaisha wananchi wa kawaifda wa Geita!

Mfano kuna jimbo la Nyanghwale kuna mbunge mmoja anaitwa Hosein Kasu yaani ni mtu asiye na elimu na wananchi wanamchagua eti kisa ni tajiri!
Hana hoja zozozte bungeni na jimbo lake hata maji ya kuvywa shida tupu wakati umbali kutoka ziwani ni mfupi sana!i
 
Back
Top Bottom