Geita ni Mkoa wenye dhahabu nyingi nchi nzima na hii ndio Standi yao ya Mkoa ya Mabasi

Viongozi wa geita, kahama ni wapigaji wazuri sana,, kote huko miundo mbinu ni very poor,, mfano kahama, sasa inaanza kuzidiwa na igunga kwa miundo mbinu,,
 
Dr Samia kapendeza Hadi raha na hapa asisingiziwe dhahabu haijaanza kuchimbwa awamu ya 6..

Hata Kahama Kuna migodi mpaka dhabu umeisha Ila Hakuna hata stand [emoji12][emoji12]
Kwa hiyo tunakubaliana kuwa sisiemu ni wezi na hawafai kuongoza nchi?
 
Kote kunakotoa dhahabu kupo hovyo sana. Fika huko Chunya, wanatoa dhahabu toka uhuru lakini hata maji ya bomba hawana.
 
Haya ya kawaida kwa Tanzania..!! Stendi ya Mtwara inakotoka gesi asilia unaijua ilivyo..?? Nkanaledi si unaijua?
 
Nadhani kati ga mwaka 2010 hadi 2012 stamdi hii ilikuwa imejengwa tena kwa pavement kabisa..... shida sijui ni mkandarasi ama nini maana ilitengeneza mabonde mapema sana hatimaye imekuwa hivyo
 
Nani kawaroga nyie?.
 
Ndio maana Trigray wanapambana HUKO ETHIOPIA kujitenga ili wajitegemee. KANDA YA ZIWA YOTE INA MADINI KILA SEHEMU.
 
Huo uwanja wa Mpira ungeleta Maendeleo gani hapo Geita? Hakuna vitu vya msingi ya kufanya na hao.GGM hadi wanajenga uwanja?
 
GGM ndio wanakusanya kodi? Whay wasoulizwe CCM?
 
Dongo jekundu la Geita halifikii dongo lile la Kibondo, Kasulu, Songea na Kisarawe.
Najiuliza tu, kama Geita inavyoonekana kwenye picha haitofautiani na Kibondo, kwa nini dhahabu isitafutwe Kibondo pia?....
Ikumbukwe kuwa Runzewe kwenye dongo jekundu, iligundulika dhahabu pia. 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…