GEITA: Wananchi wavamia kituo Cha Polisi, wawili wauawa

Hahaha ujinga jumuishi ni mbaya sana
 
Mtoto ambaye huna uhusiano naye mbona inajulika tu chap.
 
CCM wanatupeleka wapi?
 
Ndo tunachotengeneza hapa
 
Imefika hatua Sasa ukiwa mkoani ukikshika katoto ka ndugu yako kakilia na kukukataa tu tayari unauliwa
 
Hii kwa mazingira ya sasa ya viongozi wenye viburi, dharau,ujuaji na wizi wa mali za taifa ni jambo zuri na inaweza kuwa mwanzo wa kuwawajibisha kama raia wataendelea na misimamo.
Kwa upande mwingine huu ndio mwanzo wa Civil disobedience to the law and order kama matokeo ya wao kutosikilizwa na kutendewa haki kwa mujibu wa sheria na katiba ya taifa letu.

Ushauri kwa ng'ombe zinazoleta shida huko serikalini na kuwa kisababishi cha machungu kwa raia ja kuwanyima amani ni kutojiamini kiasi hicho sababu ipo siku hamtaamini kitakachowakuta. Hawa hawa raia wapole wasio na makuu watakuwa adhabu yenu hapa ardhini na hamtaamini kitachowakuta.
 
Haya mambo hayajaanza Leo Toka miaka ya 90
 
Yaah wengi hawana hatia aisee, wanaacha kupambana na wanasiasa wanao order hayo mambo kwa ajili ya makafara wanachagua watu wanaowamudu na wasio na hatia..
 
Polisisiemu waache uongo ,watu 800 wavamie kituo cha polisi halafu polisisiemu watoke salama hata kama wana silaha?
 
Tunakoelekea wananachi wameanza kuona kumbe yawezekana kumalizana na mapolice.

Wananchi ni kama wameanza kuwa sugu, ilikuwa Simiyu sasa Geita.

Mambo yanachangamka.
 
Ww bado Hujielewi, kilichotokea sio kigeni huko kanda ya ziwa na wala hakihusiani na siasa. Sasa inakuaje unaongea upuuzi.
wewe ndio hujaelewa ama unaogopa ulichokielewa.
Kinachoongelewa hapo ni nguvu ya umma, upo sawa kwa mantiki hapo haijatumika kisiasa, bsli hujaelewa anachokiongelea mwenzio kuwa, nguvu hiyo ikiingia siasani hapo ndipo ukombozi utapatikana na hicho ndicho ukiogopacho na kukiita upuuzi.
 
Vyombo vya usalama Hali hii mnaistawisha kwa kas nyie wenyewe
Ndich nilitaka kusema, akili ya binadam akijiona hayuko salama anaishi kwa hofu anakuwa anaongozwa na mihemuko.. anakuwa anachukua maamuzi kwa kukurupuka n

Kitendo cha wimbi la utekaji watoto na watu wazima na kuuawa .. huku Vyombo vya usalama vikionekana kama havilivalii njuga hili swala matokeo yake ndo haya .. watu wanatoana uhai kwa mihemuko

Ni kama yale ya wezi kuchomwa moto..
 
MAANA YAKE UMMA UNAHISI JESHI LA POLISI LIMEPIGWA GANZI, Linasubiri kupata maagizo ya kuishughurikia CDM viongozi wake wapande cheo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…