Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #121
Ujinga upi ulio uona hapo wewe?Inasikitisha sana bado tatizo la ujinga ni kubwa sana katika jamii yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga upi ulio uona hapo wewe?Inasikitisha sana bado tatizo la ujinga ni kubwa sana katika jamii yetu.
Msingi wa point Yako ni njema.HIi taarifa nilichogundua ni wananchi kuna muda hawana uelewa mzuri wa mambo.. Tuna mihemko mnoo kuna kaka angu alizushiwa mwizi wa pikipiki...
Ukombozi wa kutaka kuua watu wasio na hatia ni ukombozi wa kifala.Ukombozi wa Nchi hii utatoka Kanda ya Ziwa. Hizi ni salaam kuelekea uchaguzi mkuu 2025 hawataogopa Cha police Wala mabomu
Watu 800 kitu gani, Hawa watafiti waliuwawa kwa kuchomwa kisa ishu za kukurupuka kama hizi. Na usikute ni walikuwa zaidi ya 800.Kabisa umeamini hivyo ? Kwenye watu800? Ina maana wenye Watoto walikuwa hao wawili tu mnada wote?
Bado hatujafikia kuwa wajinga kiasi hiki eti Kila likisemwa tuitikie ndio
Ushaambiwa mama wa watoto amekiri wale ni watoto zake na waliowabeba ni wajomba zao.
Kwahiyo askari ni wajinga??
Shida wabongo mna akili za kimatope.
Ni Hivi Hadi watu wanachukua maamzi hayo ujue wahusika walihojiwa wakaleta jeuri na kulingana na matukio ya utekaji yanayo Endelea basi likapigwa yowe.Watu 800 kitu gani, Hawa watafiti waliuwawa kwa kuchomwa kisa ishu za kukurupuka kama hizi. Na usikute ni walikuwa zaidi ya 800.
Dodoma: Wanakijiji Mvumi - Chamwino wachoma moto gari na kuuwa maafisa wa Taasisi ya Kilimo
. Wakuu kuna habari zinasambaa mitandaoni kuwa kuna Maafisa wa Taasisi ya Kilimo ya Seliani iliyopo Mkoani Arusha wameuawa na wanakijiji wa Mvumi. Kukatokea kutokuelewana kati ya maafisa hao na wanakijiji,kiasi cha maafisa hao kuchomwa moto wao na gari lao. Picha zinatisha. Wanakijiji wa Mvumi...www.jamiiforums.com
Taarifa hajakaa sawa hiyo! Kwahiyo walikuwa na watoto ni hao wanaume wawili tu mnada wote?Kuna wapuuzi walichoma moto vijana wa watu kisa ishu hizi hizi za kukurupuka. Wabongo kuna muda kama makondoo yakiona mwenzao kaanzisha yanafata tu bila kuhoji.
Dodoma: Wanakijiji Mvumi - Chamwino wachoma moto gari na kuuwa maafisa wa Taasisi ya Kilimo
. Wakuu kuna habari zinasambaa mitandaoni kuwa kuna Maafisa wa Taasisi ya Kilimo ya Seliani iliyopo Mkoani Arusha wameuawa na wanakijiji wa Mvumi. Kukatokea kutokuelewana kati ya maafisa hao na wanakijiji,kiasi cha maafisa hao kuchomwa moto wao na gari lao. Picha zinatisha. Wanakijiji wa Mvumi...www.jamiiforums.com
Ndio maana wazungu wanadharau ngozi nyeusi, wangefanya hata utafiti wa chap chap kabla ya kuamua. "No research no right to speak ".
Mganza chato kituo Cha police kilipigwa kiberiti vilevile.Ukombozi wa kutaka kuua watu wasio na hatia ni ukombozi wa kifala.
Ujumbe huu usomwe na magnifico nakwambia wananchi sio wajinga wale.Na wewe ungekuwa makini kichwani ungeichukua hii hadithi ya Afande with a grain of salt.
Mabomu ya machozi na maji ya kuwasha siku hizi hayawashi enough ?
Hakunaga reinforcement za askari zinazoweza kuja kutuliza ghasia bila ku shuti point blank ?
Watoto walikuwa wanatoka kwa wifi yake, walikuwa wanae, hamjasikia mjomba kabaka mtoto mpaka kaua, baba mtu kauza mtoto, hakunaga ? Ilikuwaje kuwaje kama watoto ni wao wananchi wakakataa na ikafika vurugu ?
Unabugiaje nzima nzima taarifa ya mtu ambae yeye siku zote ndie prime suspect wa majority ya vifo tata ?
Nahisi walihojiwa wakaleta ujuaji ama jeuri ...... pengine Kuna zaidi ya tuliyo ambiwaHivi mnabebaje benaje watoto kiholela holela tu mbele za watu katika kipindi hiki cha sintofahamu?!
KumbeIna maana hapo mnadan ni wao tuu ndio walikuwa na watt
Kuna wakati wataalamu karibu dunia nzima tena madakitari waoiamini kuwa mikono ya daktari ni ya uponyaji haiwezi kuleta madhara ni mitakatifu haipaswi kutakaswa wala kunawanawa.Watu 800 hawawezi kukosea
Tuanze kwanza na hiyo 800 nani aliihesabu, ilitumika njia gani??Mimi ndo nimesoma na kuleta hata jukwaani. Na nimeelewa huenda wewe ndo hujaielewa.
Watu 800 hawezi singizia watu2
Dhidi ya polisi sita wenye virungu na bunduki moja.Ifwa muunu!Watu 800 hawawezi kukosea