kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
na olewake uwe na bifu na dadako,hua unamchomekea ukimkuta kasimama na masela njiani(washenzi/chambia gunzi) yakimtongozaMama atasemaje? Itafahamika ukifika home. Halafu uliacha maharage yakaungua na uliambiwa uwe unaongeza maji
View attachment 3143979
“Days Of Our Lives”
Ilkuwa ni music portable device mahususi kucheza nyimbo zilzo hifadhiwa kwa njia ya cdKitu gani hili mkuu?
Hii kitu ilkuwa inauzwa kwa machinga tsh 2500 aisee, afu kulikwa na zile zinatumia cards za games mbalimbal kama tano hivi dah long time aiseee
Hii hadi kuna gen z wenzetu wameipakaView attachment 3144062
Hata hii Gen Z, hamuijui kweli ? 🤣
Na kupenda mashangazi tu, kama hichi kitoto mshamba_hachekwiUshasema Gen Z. kwa taarifa yako hata mambo ya kisasa hawajayafehemu.
Wanajua kubet kuliko waliotengeneza hizo mashine
Just. Let. Me. Smash.Na kupenda mashangazi tu, kama hichi kitoto mshamba_hachekwi
Siwezi kuijiba hiyo dhambi. Endelea nao wanaokupa laana😂Just. Let. Me. Smash.