Gen-Z hamuwezi kuelewa hivi vitu vilikuwa na maana kiasi gani

View attachment 3159635
Yes na mm nilikuwa nayo, ilikuwa unyama sana, sema ilikuwa inakula sana battery kama hutumii umeme, sema nilikuja iuza 25,000 baada ya kuishiwa sana pesa nikiwa shule
Hii ndiyo yenyewe kabisa, ilikuwa na remote halafu ni VCD Player. Mimi yangu ilikuwa na stand yake kabisa 🤣​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…