GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 1,398
- 5,198
- Thread starter
- #141
Darasa la 3,4,5,6 English
Miaka hiyo waalimu walikuwa wana wito balaa. Unasoma English unaelewa vizuri kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Darasa la 3,4,5,6 English
Mkuu naomba nitumie softcopy yake kama utakuwa nay
Mkuu naomba nitumie softcopy yake kama utakuwa nay
Wanaweza kukwambia ni Kibakuli cha kuwekea Chapati
Hiyo simu ninayo mkuu nilipewa na GEN Z
Wewe komaa na Android tu 🤣Hiyo simu ninayo mkuu nilipewa na GEN Z
Nilikuwa nayo hiyo 1990. Tatizo inakula betri balaa.Sony walkman zilikuwepo bongo? Labda kwa washua.
Mimi nilikuwa nayo home ilikuwa inapiga muziku na VCD Player, two in One yani 🤣
Kama una hiki kitabu mkuu, ni P^M , Wanangu wata enjoy sana .
Maafisa Ubashiri hao akina min -me pamoja na mchonga nyusi mmoja anaitwa mshamba_mwingine . Wakishabet na kuliwa pesa na muhindi wanakuja kutuharibia nyuzi zetu hapa JF.Ushasema Gen Z. kwa taarifa yako hata mambo ya kisasa hawajayafehemu.
Wanajua kubet kuliko waliotengeneza hizo mashine
Mwanangu tulia....Sony walkman zilikuwepo bongo? Labda kwa washua.
Nikafunga spika kubwa kwenye mtungi ili niuelewe mziki japo nilikuwa siwezi afford pesa ya betri
View attachment 3159635
Yes na mm nilikuwa nayo, ilikuwa unyama sana, sema ilikuwa inakula sana battery kama hutumii umeme, sema nilikuja iuza 25,000 baada ya kuishiwa sana pesa nikiwa shule