PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kama hakuna mbinu ni ngumu kushinda.umeona maiti zile lakini?polisi walikuwa wanatikisa nini?
 
Kama hakuna mbinu ni ngumu kushinda.umeona maiti zile lakini?polisi walikuwa wanatikisa nini?
Mkuu palestina miaka zaidi ya 50 sasa wanauliwa kuliko hata hawa iliyotokea wiki iliyopita
hoja yangu ipo pale unapoamini palestina itashinda, hapo nami ndio nauliza kwa nini huamini kuwa hao gen z watashinda na kupata hizo haki zao?
 
Hatukubali kuichoma nchi yetu moto. Wengine hatuna pa kwenda, nyumbani ndio hapa. Hiyo haki haitakuwepo na hautai enjoy kama hakuna Amani.

Ni bora hiyo CCM kuliko machafuko na uvunjivu wa Amani.
Wewe kibwengo nisikilize ukitaka lia sana. Lakini kama tulivyo kiwasha tarehe 29.10.2025. Tutakiwasha pia tarehe 09.12.2025
 
Mkuu palestina miaka zaidi ya 50 sasa wanauliwa kuliko hata hawa iliyotokea wiki iliyopita
hoja yangu ipo pale unapoamini palestina itashinda, hapo nami ndio nauliza kwa nini huamini kuwa hao gen z watashinda na kupata hizo haki zao?
Tunarudi pale pale ndo kitu ambacho sitaki kitokee hapa.wale wamekosa silaha.sawa na hapa.
 
Mkuu ngoja niandike kwa herufi kubwa labda utanielewa
KWA NINI UNAAMINI WAPALESTINA WATASHINDA LAKINI HUAMINI KUWA HAWA WA KWETU WATASHINDA PIA?
Hata hao waparestina kumshinda kwao sio Leo Wala kesho.na shida hawana mbinu za kuwa fanya kushinda Kwa Sasa.hauwezi kupigana vita bila silaha.ni kupoteza tu maisha ya watu.ndo maana maandamano Yale target ilikuwa kuharibu vitu sio kupambana na adui ambaye ni polisi.
 
Tunapambana vipi.wewe utachoma moto vitu.ila wenzio wanakuja kukupiga risasi.hamuwezi kufaulu mpaka muwashinde polisi
Jibu swali acha taarabu nyingi.

Wapalestina wanapaswa kupambana na Israel au wakae kimya ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…