PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hawa Gen Z hawapoi, nakumbuka wakati wanaratibu maandamano ya MO29,;walikuwa wanajitapa kuwa watachoma vituo vya mafuta.

Albert Chalamila kama kawaida yake akaja mbio mwendo wa ngiri mkia juu, na kujitapa kuwa kama Kuna anayejipenda adhubutu aone.

Sote ni mashahidi vituo vingi vya mafuta vilipigwa kiberiti.

Sasa maandamano ya tarehe 09/12/2025 Gen Z wamesema watawatembelea wafuatao
-Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa.
- Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu
-Nyumbani Kwa Nassoro Katuga
- Wasafi media

Here we go
 
Hai Gen z Wana bullet proof!?

Mi sitaki kuona matobo ya risasi!

Tumekua kama Kenya sasa!!
 
Hai Gen z Wana bullet proof!?

Mi sitaki kuona matobo ya risasi!

Tumekua kama Kenya sasa!!
 
Strike where they are Unprepared

Appear where you are not expected.


Attack where they are unguarded.
 
List hii bila Jaji Jacob Mwambegele na Ramadhan Kailima haina maana, hawa wanatakiwa kutiwa kiberiti hadharani.
 
Nchi zote duniani zinafuata sheria hiyo. Huwezi ukatoa huduma yoyote kwenye nchi husika bila kusajiriwa kwenye nchi hiyo.
Hapa ndipo ushind wa CCM ulipo.
 
Mtandao kimataifa unapataje?
 
Hakuna maandamano ya amani ya kuutoa utawala madarakani tusidanganyane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ