Naona Kyela wameamua waendelee na ukombozi. Wamegoma kupoa.
Naona Kyela wameamua waendelee na ukombozi. Wamegoma kupoa.
Tuhimizane ulinzi wa Mali zetu, Leo hii usafiri Dar umekuwa shida, vijana wamechoma vituo na Mali za watu wengine. Ni watanzania wa hali ya Chini kabisa ndiyo wanaoteseka sasa hivi, Ni Watanzania wa Chini kabisa wamepoteza kazi. Hawa tunaotaka watoke wanatembelea Magari binafsi, Maisha yao yanaendelea. Kuandamana ni Muhimu na Ni lazima, Lakini ni muhimu zaidi kulinda Mali za watu wengineYeah!
Lazima iwe final touch.
Iwe jua iwe mvua lazima CCM tuioneshe kwamba sisi ndo wenye nchi.
Mkuu wala usijali kazi zitarudi tena kwa uhakika zaidi kuliko hivi sasa bila ya connection hupati hiyo kazi.Tuhimizane ulinzi wa Mali zetu, Leo hii usafiri Dar umekuwa shida, vijana wamechoma vituo na Mali za watu wengine. Ni watanzania wa hali ya Chini kabisa ndiyo wanaoteseka sasa hivi, Ni Watanzania wa Chini kabisa wamepoteza kazi. Hawa tunaotaka watoke wanatembelea Magari binafsi, Maisha yao yanaendelea. Kuandamana ni Muhimu na Ni lazima, Lakini ni muhimu zaidi kulinda Mali za watu wengine
Sawa Mwana parokia, uwaage kabisa parokiani.🙏Niko tayari kwa lolote siku hiyo. Japo tulikuwa tunaomba iwe tarehe 11.11.2025
1.Kisasi Kwa polisi wote Tanzania
2. KISASI Kwa Kila mwana CCM
3.KISASI KWA VYOMBO VYA HABARI VYOTE HASA TBC na wafanyakazi wake
4.Ikulu lazima ichukuliwe
Mpaka Leo hujui wanahitaji Nini? Au umekuwa brainwashed na propaganda za kijinga kutoka kwa akina wassiraBebeni mabango kuonyesha mnahitaji nini wakuu wangu.
Wamenusa damu za ndg zetu na sisi tunataka kunusa zao na ndg zaoTunakumbushana tu.
Wale mama na wakuu wake wa ulinzi washanusa harufu ya damu na wameshachanganyikiwa muwe makini
Tunapataje huduma za internet kutoka nje mbali na hizi za Tz?
Hii ndio karata bora zaidi Watanzania tunapaswa kuanza nayo.
Nawaza isije Gen z wakaja na mipango ya nyumba za polisi popote zilipo na familia zao. Civil war huanzaga hivi. Maana baada ya hapo watasema askari walikuwa wa zenji. Serikali iwape watu wenye akili za kuona mbali na wenye moyo wa busara kuingilia kati haya mambo. Ninao ona wanajitokeza ni wale wenye kubeza na kuonesha jeuri ya dola.Wamenusa damu za ndg zetu na sisi tunataka kunusa zao na ndg zao
kmynk!
Ila Bongo vituko haviishi🤣Tarehe 9/12 nimeona kuna maandamano makubwa sana kuliko yaliyopita nime thibitisha hilo ufisadi hautakiwi kutunikiwa tuzo bali mapambano. Wazee, watoto, kwa vijana wataandamana wote.
Nunua vitu vya msingi weka ndani kuwa na umeme wa ziada, tumia huduma za internet za kimataifa badala ya zile za mitandao ya Tanzania ambazo zinaweza kuzimwa kwa vitisho na mafisadi.
Mkuu hiyo namba 2 hadi kufungiwa inaweza kucost kiasi gani?1: kama unaishi maeneo ya mpakani omba watu wakusajilie laini za kenya/malawi hasa airtel na vodacom + MTN za nchi hizo. Bando halikati unateleza tu.
2: tumia internet ya satellite. Wapo watoa huduma bongo wanaofanya hio connection. Ni inatumia dish na router special. Hiyo haiwezi kuwa monitored na TCRA sababu haipiti kwao ndomana nape alikataa watu kama starlink kuleta hizo vitu.
3: bongo kuna dedicated simcards ila kuzipata ni mbinde. Kwa Fiber ya ttcl kuna baadhi ya maeneo internet haikukatwa wakati wa maandamano.
huwajui police wa CCM pamoja na hai mabwana zao hayo maandamano ya amani hawayataki pia ka ukijua hilo na wao ndio wanzilishi wa vurugu kwa kupiga risasi za moto juu pamoja na mabomu kutawanya watuNi vyema mkafanya kwa Amani na Kulinda Mali za Watanzania wenzenu, Chadema waliwahi kuandamana Miaka ya Karibuni kwa Amani bila kuiba wala kuharibu mali za Watanzania Wenzao. Mbinu ya kwanza ya kufanikiwa ni kulinda Mali ili wasipate sababu ya kuua watu. Mbinu ya pili ni Idadi. Kama watu wakiwa wengi kiasi cha kuasili mizunguko ya shughuli za kawaida mjini bila Vurugu. Lengo linaweza kutimia
hakika mkuuMkuu wala usijali kazi zitarudi tena kwa uhakika zaidi kuliko hivi sasa bila ya connection hupati hiyo kazi.
Kwenye kila mabadiliko changamoto hazikosekani.
People have to pay the price for the changes.
Tukifanikiwa kuiondosha CCM na viongozi wake waliojipigia kura wenyewe mambo mengi yatakaa sawa.
wewe akili yako uliyo nayo ni ipi?Huna akili ulipaswa ufe trh 29 October
Huna akiliwewe akili yako uliyo nayo ni ipi?