Ninyi wengine huenda mnatumiwa na dola ili maandamano yaonekane ni ya vibakaUsitupangie namna ya kufanya mkuu. Lolote litakalowezekana litakelezwa kikamilifu pasina kumuogopa mtu yeyote yule!
Maswali ya kiboya kama sio kipumbavu kabisa.Una uwezo gani wa ku create employment ambazo sasa hivi huzioni? Au unadhani employment ni kuajiriwa TPA na BOT au TRA??
HAKI itatendeka kwa wananchi kuchagua viongozi WANAOWATAKAuchaguzi kurudiwa ndio kupindua serikali bandia iliyopo
Gen Z wenye akili ni wa Kenya, Madagascar na Nepal tu. Wale hawakuharibu miundombinu ya nchi yao na kuiba, labda udokozi kidogo tu.Tutokeni wote nchi ishakufa hii
Magenge ya kiharifu yametamalaki
Hii nchi haitakombolewa na Mungu Bali sisi vijana
Nchi inazama kwenye magenge ya kiharifu
Twendeni barabarani tarehe 9/12 lasivyo tutatekwa na kuuawa wote na kufirwa hata tukiwa nyumbani.
Gen Z wenye akili ni wa Kenya, Madagascar na Nepal tu. Wale hawakuharibu miundombinu ya nchi yao na kuiba, labda udokozi kidogo tu. Hawa wa Tanzania ni mbumbumbu tu ndiyo maana wamepata wanachostahili ile tarehe 29/10. Rudieni tena hiyo tarehe 09/12 na hapo nawahakishia mtachezea shaba kama kawaTarehe 9/12 nimeona kuna maandamano makubwa sana kuliko yaliyopita nime thibitisha hilo ufisadi hautakiwi kutunikiwa tuzo bali mapambano. Wazee, watoto, kwa vijana wataandamana wote.
Nunua vitu vya msingi weka ndani kuwa na umeme wa ziada, tumia huduma za internet za kimataifa badala ya zile za mitandao ya Tanzania ambazo zinaweza kuzimwa kwa vitisho na mafisadi.
Watz hawana akili ila usisahau kusema miongoni mwao asiye hata na punje ni wewe!Gen Z wenye akili ni wa Kenya, Madagascar na Nepal tu. Wale hawakuharibu miundombinu ya nchi yao na kuiba, labda udokozi kidogo tu.
Hawa wa Tanzania ni mbumbumbu tu ndiyo maana wamepata wanachostahili ile tarehe 29/10.
Rudieni tena hiyo tarehe 09/12 na hapo nawahakishia mtachezea shaba kama kawa.
Waliokosea nadhani ni organisers waliokuwa wakisema chomeni petrol stations kwamba hizo zote ni za Kikwete Liziwani na Abduli.Maandamano ya Amani yanayo dhibitiwa na risasi?
Hizo ni hisia zakoNinyi wengine huenda mnatumiwa na dola ili maandamano yaonekane ni ya vibaka
Kwamba Kuna wave la #MD9 linakuja baada ya #MO29 kufeli!?Tarehe 9/12 nimeona kuna maandamano makubwa sana kuliko yaliyopita nime thibitisha hilo ufisadi hautakiwi kutunikiwa tuzo bali mapambano. Wazee, watoto, kwa vijana wataandamana wote.
Nunua vitu vya msingi weka ndani kuwa na umeme wa ziada, tumia huduma za internet za kimataifa badala ya zile za mitandao ya Tanzania ambazo zinaweza kuzimwa kwa vitisho na mafisadi.
Maandamano sio kwa ajili ya waoga na mafala kama wewe.Hatuandamani acha ujinga na uchochezi
Mtanzania ambaye Hana akili Ni Bibi yako Samia mafisadi wakubwa nyie mlimuandama Magufuli eti anavunja haki za binadamu lakini Sasa hivi washenzi wanauza nchiGen Z wenye akili ni wa Kenya, Madagascar na Nepal tu. Wale hawakuharibu miundombinu ya nchi yao na kuiba, labda udokozi kidogo tu.
Hawa wa Tanzania ni mbumbumbu tu ndiyo maana wamepata wanachostahili ile tarehe 29/10.
Rudieni tena hiyo tarehe 09/12 na hapo nawahakishia mtachezea shaba kama kawa.
Maandamano yawe ya AMANI yataungwa mkono na watu wengi na mtu akitaka kuchoma property adhibitiwe papo hapo.
๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Mama ntilie wamechomewa vibanda vyao swali je hivyo vibanda pia ni vya Abduli?Hizo ni hisia zako