PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Binafsi sio haja ya kupoteza Muda kuandamana.. wengi wanaandamana kwaajili ya maisha magum lakini wapo Vijana wengi wa kimaskin wamepambana wana maisha mazuri tu.. mtu ambae tayari kashaorganize maisha yake huwezi mkuta anapoteza muda wake au kurisk maisha yake kisa hizi siasa.. Vijana tupambane kutafuta pesa kila kitu kinawezekana hata ije serikali ya aina gani hautopewa pesa tu.
 
Nadhani tungejifunza kwa yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu October 29.
Maandamano yataleta maafa mengine ambayo hayana sababu ya kutokea.
Badala yake nashauri njia ya mazungumzo itumike kufikisha agenda yenu. Naamini serikali itakuwa tayari kuwasikiliza.
 
Wakiingia kwa step ya kuwamaliza mapolisi na familia zao, watakuwa wamepiga improvement kubwa sana, na hiyo inawapa 70% ya ushindi. Mwisho polisi watagoma kuingia front wakihofia familia zao na maisha yao.

Kwanini? Hapo itabaki kwa JWTZ tu, na wao sio rahisi kukubali kupoteza familia zao.
 
Mimi sio nabii ila najua sio tu watanzania walio kosa usingizi hata Samia hana usingizi wala furaha anaangaika huko na kule subiri 9/12 ataona show
 
Ucchi wa mamaako,mngese wewe
 
Tulieni mfundishwe jinsi usalama wa Taifa unavyotakiwa kulifanyia kazi taifa na siyo kikundi cha watu.
 
Mimi nikitoka, baba mwenye nyumba atabaki ndani na mtoto
Yeye akitoka, nitabaki ndani na mtoto.
Kwenye familia yetu lazima mmoja ashiriki 9 Dec kwenye ukombozi wa Tanganyika.
 
Serikali hipi ya kusikiliza?

Kwani kuomba katiba mpya na uchaguzi huru na wa haki watu wameanza kuomba leo?

Ni miaka na miaka watu wanaomba lakini hawasikilizwi zaidi CCM inabadilsha mbinu za kuendelea kuiba kura ili wabaki madarakani.

Bila kuwashinikiza kwa kutumia nguvu hakuna cha maana tutakachopata.
 
Hakuna anayeiba Mali ya mtu watu wanachukua Mali za kifisadi za Kodi zao

Na kuharibu Mali za kifisadi

Mali za kifisadi hazina faida yeyote kwenye nchi maana hazilipi kodi
 
Maandamano ili yawe ya amani inategemea pia hao wanaoitwa walinzi.
Sasa hawa vichwa maji polisi wakishika bunduki huona huo mkusanyiko kama ni wa ngedere nakuanza kuwalenga bila kusubiri lolote. Hilo neno AMANI litaingiaje hapo?
 
Baada ya kusema TZ hawawezi kuandamana leo umekuja kivingine hapa.
Mkuu wee jua tu kuwa hatuogopi kufa tena maana hata tusipokufa kwenye maandamano mtatuteka kututesa na kutuua hivyo hatuna cha kupoteza. Furaha yangu ni kutuua wote kabisa tuishe.

Lakini story za kututishia kufa habari hizo kamtishe mmeo tu anayekuhdumia na kukujari lakini si sisi.

Nepal walichoma Bunge,ikulu na kuchoma nyumba ya waziri mkuu pamoja na kuua mke wake!
Kenya waliingia bungeni wakafanya uharibifu mkubwa tu.
 
Mimi sio mtaalamu sana lakini inawezekana akawa hajui kwa asilimia kubwa madhara yaliosababishwa na maandamano,
Kumbuka yeye ni analetewa report na sio mtu wa kwenda kwa wanachi kama ilivokua mtangulizi wake.
I stand to be corrected, sijaona video yeyote akiingia field na kuuliza wananchi face to face mambo yanaendaje
Hivo kama ni mtu wa report pengine wanaomletea report wanaficha kama sio kumpotosha na kinachotokea mtaani
Hata hotuba zake kumbuka hua anaandikiwa kipi cha kusema na kipi cha kuongea

On the other side kama anajua ukweli kwa yote yaliotokea basi zigo lote anapswa kutishwa yeye
 
Maandamano ili yawe ya amani inategemea pia hao wanaoitwa walinzi.
Sasa hawa vichwa maji polisi wakishika bunduki huona huo mkusanyiko kama ni wa ngedere nakuanza kuwalenga bila kusubiri lolote. Hilo neno AMANI litaingiaje hapo?
Haya hayatakuwa maandamano ya KWANZA ya AMANI kumbuka CHADEMA ilifanya maandamano ya AMANI nchi nzima hakuna hata NZI aliyeuwawa.
 
Yaani watakiona Cha MTEMAKUNI maana ni mara mia zaidi ya yalioyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ