Na yeye safari hii atazikoga tu.Kwa akili hii hamjui hata mnachokitaka, wacha mchezee risasi za Mafwele tu
Na atulie tu nyumbani achezee uboo wa mumewe.boya wewe tulia baki nyumbani mwenyewe nani kakambia ******* kama wewe wataandamana
Ambao mliandamana iliyopita naomba kupata ABC za jinsi ya kurudi nyumbani ikifika usiku.hii tunaenda fanya mashambulizi ka ya wa vietnam hakuna kupoa
At least walikuwa na sababu kulitarget bunge. Maana bunge ndiyo linapswa kuicheki Serikali na pia ni watunga sheriaWee acha bongo asee. Kenya hukuona na Nepal bunge
Mimi nawatakia Kila la kheri.nisiwakatishe tamaaAlshabab wataingia kama sub dakika ya 5 ya mchezo na watashambulia kutokea pembeni
Bado upo ndotoni.Lengo la maandamano lisiwe kuipindua serikali ila liwe la kushinikiza TUME HURU na KATIBA MPYA na UCHAGUZI URUDIWE.
Ila ukumbuke wakati ule serikali iliridhia na ikatoa ulinzi.Haya hayatakuwa maandamano ya KWANZA ya AMANI kumbuka CHADEMA ilifanya maandamano ya AMANI nchi nzima hakuna hata NZI aliyeuwawa.
Serikali ikitunyima HAKI yetu ya KIKATIBA ya KUAMNDAMANA kwa AMANI bila sababu za MSINGI👈 basi wao ndio watakaolaumiwa kwa kitakachotokea.Ila ukumbuke wakati ule serikali iliridhia na ikatoa ulinzi.
Kwa hali ya sasa sioni mazingira hayo.
Ili utulivu(sio amani) uwepo, ni vijana kuacha kuandamana.
Usibishane na hako kasenge umekashinda hoja, kanatafta mlango wa kutokea.Baada ya kusema TZ hawawezi kuandamana leo umekuja kivingine hapa.
Mkuu wee jua tu kuwa hatuogopi kufa tena maana hata tusipokufa kwenye maandamano mtatuteka kututesa na kutuua hivyo hatuna cha kupoteza. Furaha yangu ni kutuua wote kabisa tuishe.
Lakini story za kututishia kufa habari hizo kamtishe mmeo tu anayekuhdumia na kukujari lakini si sisi.
Nepal walichoma Bunge,ikulu na kuchoma nyumba ya waziri mkuu pamoja na kuua mke wake!
Kenya waliingia bungeni wakafanya uharibifu mkubwa tu.
Andamana karibu na home ili ukipatwa na changamoto n rahisi kusaidiwa, kama n mbali bc nenda na wengi wanaokujua, na utapata Kampan kurudi nyumbani kupitia vichochoroni.Ambao mliandamana iliyopita naomba kupata ABC za jinsi ya kurudi nyumbani ikifika usiku.
Sababu ikifika jioni barabara zote zinakua zimefungwa na usafiri hakuna.
Mbaga Jr Hance Mtanashati
Sahihi sisi tulikuwa 17 aliye....... ulichomwambia ni sahihiAndamana karibu na home ili ukipatwa na changamoto n rahisi kusaidiwa, kama n mbali bc nenda na wengi wanaokujua, na utapata Kampan kurudi nyumbani kupitia vichochoroni.
H ndivyo mm nilifanya.
Usiogope nipoTayana-wog upo salama kweli?
Updated
Acha ujinga. Unajua wanachofanyiwa wakirudi nchini?Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..