PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hivi una jua kuna watu mpaka leo hawajaona familia zao na hawajui watemda kuona lini kwasababu ya haya maandamano?
Ni sehemu ya mabadiliko. Vinginevyo serekali ijitokeze iseme lini tunakaa mezani. Kinyume na hapo tutarudi lockdown wote. Tumechoka, tutakaopotea tutakuwa sadaka ya wengine.
 
THIS TIME TUKIZIPATA BUNDUKI ITAKUWA POA SANA😬,

KYELA MBEYA MOTO HAUJAZIMA MPAKA LEO
#NITAKUWEPO
 
Kama umeuliwa kaka, dada, mama, mjomba, shangazi, rafiki, baba, ndugu na jamaa, je uko tayari kuandamana kupigania haki yako uliyenusurika kuuliwa? Uko tayari kupigania haki ya aliyeuliwa? Au utasaliti damu ya waliouliwa?

Je wewe ambaye hukuguswa na msiba, ila kanisa lako limefungwa, je uko tayari kuandamana kwa amani kwa ajili ya haki yako ya kusali?

Je wewe unayejiita mzalendo, unakerwa na vita inayopelekwa vyama vya siasa vya upinzani, uko tayari kuandamana kwa ajili ya haki zako za kisiasa?

Je wewe unayempenda Tundu Lissu, taarifa ni kwamba wamepanga kutumia mahakama kumfunga jela, je uko tayari kuandamana kwa amani kwa ajili ya haki ya Tundu Lissu?

Je wewe ambaye unajinasibu ni mzalendo unayempenda Mh Polepole, je uko tayari kuandamana kwa ajili ya haki ya uhai ya Mh Polepole?

Wewe ambaye unajiita mu RC wa kindakindaki, ulimiumizwa na jaribio la Padre Kitima kuuwawa, ukaumizwa na matukio ya utekaji wa viongozi wako, umeumizwa na tukio la kanisa kudhalilishwa, kufedheshwa, upo tayari kuandamana kwa amani kudai haki yako ya kiimani?

Je wewe mzalendo unayeumizwa na maisha duni ya Watanzania huku ukiona watoto wa watesi wetu wakiendesha magari ya thamani na matumizi mabaya ya fedha za Watanzania, upo tayari kupambania haki za walala hoi?

Je wewe mzalendo uko tayari kusimama kudai katiba mpya?

Mzalendo wewe, uko tayari kuhesabiwa kudai mabadiliko katika mfumo wa uchaguzi ili upate kiongozi umpendaye?

Nakuuliza wewe kijana ambaye huna ajira, kesho yako huijui, wenye mamlaka hawana majibu ya maswali yako, uko tayari kuandamana kwa ajili ya kulinda rasilimali za nchi yako ili zikusaidie?

Tunakubaliana kwamba ndugu zetu wameuliwa, vichwa vimepasuliwa, ubongo umemwagika, mioyo imepasuka, mapafu yao yalitobolewa kwa risasi, utumbo na maini yao vilichinjwa chinjwa kwa risasi. Upo tayari kuisaliti damu ya walolala? Au upo tayari kusimama na damu hiyo?

Inawezekana swali letu likawa moja, je damu za wapendwa wetu waliouliwa kinyama, bado miili yao imetokomezwa kwa kuchomwa moto, imezikwa kinyemela, tutausahau ukweli huo kama ambavyo wauaji wetu hudai “Watanzania ni mang’ombe”?

Ni matumaini yangu, kila kijana, kila aloguswa na mauaji haya anao wajibu.

Silaha yetu pekee ni kuhakikisha kila Mtanzania anakuwa mkosoaji wa maovu yanayofanywa na hawa wauaji wetu. Kwa kufanya hivyo wataamua wao wenyewe wauwe Watanzania wote au wawaache wote.

Kijana, kijana, kijana, amka. Usiwe mjinga na mpumbavu.

Tarehe 9/12 tushiriki katika maandamano ya amani. Tutoke wote, tupaze sauti kubwa dunia yote, malaika na Mungu wapate kutusikia.

Kataa, kataa, kataa habari za kipuuzi za maridhiano. Hakuna maridhiano katika huzuni, hakuna maridhiano wakati ambao ndugu zetu wameuliwa kinyama na kwa kisasi.

Kataa, kataa, kataa. Usishiriki dhambi kijana, kataa.
 
Ila hii nchi ina Matahira mengi sana.
Hao ma activists wenyewe wako nje wanakula vyuku tu
Kwani kwenye maandamano unaona watoto wa viongozi wakikaa mbele, zaidi ya polisi wanaosaka vyeo. Tutarudi lockdown wote. Tumechoka kuburuzwa. Tuumizwe kisha mpandisbe watu kizimbani kwa kushupaza kwenu shingo? Nunua chakula cha kutosha boss, tarehe 9 december utaona kisichofurahisha. Ww hakikisha uwe tayari kutoa ushahidi wa kura 31m zilipigwa na kina nani.
 
Umenena vyema sana ndugu

Ila kusikia kwa kenge mpaka ...........
 
Ni sehemu ya mabadiliko. Vinginevyo serekali ijitokeze iseme lini tunakaa mezani. Kinyume na hapo tutarudi lockdown wote. Tumechoka, tutakaopotea tutakuwa sadaka ya wengine.
Dah
 
Inauma Sanaa, Ndugu zetu wameuliwa kinyama na Kikatili.

Miili ya marehemu inateketezwa kinyama.

Miili yenye bahati inazikwa Kwa bahati bila jeneza, Wala sanda 😭😭😭😭😭

Angalau wangetupa Miili ya Ndugu zetu.

Ni maumivu makali makali sana
 
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Haticheki na wowote.
 
We ni mpumbavu hao watu walio maabusu unategemea wataachiwa bila shinikizo?

Unajua uhuni unaosukwa Sasa?

Nyie madiwani, wenyeviti na wabunge wa CCM mjiandae kisaikolojia tutawashughulia ipasavyo kipindi hiki ili mjue dola Ni umma sio nyie wahuni.
 
Umenena vyema sana ndugu

Ila kusikia kwa kenge mpaka ...........
Hawa watu wano jifanya wameumizwa na vifo vya watu ni waongo maana. Huwezi andaa tena ugomvi mwingine wakati mwanzo ulishindwa uka zika watu wengi now lazima msome nyakati na mumsome adui yenu mjue udhaifu wake upo wapi
 
We ni mpumbavu hao watu walio maabusu unategemea wataachiwa bila shinikizo?

Unajua uhuni unaosukwa Sasa?

Nyie madiwani, wenyeviti na wabunge wa CCM mjiandae kisaikolojia tutawashughulia ipasavyo kipindi hiki ili mjue dola Ni umma sio nyie wahuni.
Matusi
Yanatoka wapi?

Je shinikizo mnalotaka kufanya litafanikiwa au lita leta machozi mengine?

Mmejipangaje?
 
Nlikuwa simpendi lisu ila baada ya ma ccm kufanya ujinga waliofanya nimejikuta nina mahaba na lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…