Tumepoteza pambano na sio vita. Jiandaeni kisaikolojia na sisi kuanza kutafuta silaha kwa nguvu zote. This time tutaumia wote.Hawa watu wano jifanya wameumizwa na vifo vya watu ni waongo maana. Huwezi andaa tena ugomvi mwingine wakati mwanzo ulishindwa uka zika watu wengi now lazima msome nyakati na mumsome adui yenu mjue udhaifu wake upo wapi
Maku wewe unajengaje nchi huna ajira mifumo ya hovyo bora nife napambania haki ua kesho ya kizazi changu kulko kufa barabaran nimelewa au ngongwe na gar msenge weweIvi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Kwani mimi nahusika kupiga watu au kuua watu?Tumepoteza pambano na sio vita. Jiandaeni kisaikolojia na sisi kuanza kutafuta silaha kwa nguvu zote. This time tutaumia wote.
Ndio tunataka watufunge wote ili magerezani yajae sawa we tukifungwa unawashwa Nini?Mange kakutieni mkenge saivi kuna vijana kama 200 ivi wameshtakiwa kwa uhaini Watanganyika tumieni akili lasivyo mtakula za kichwa mpaka akili ziwakae sawa
Ahahaha 😂 😂 😂Kwani kwenye maandamano unaona watoto wa viongozi wakikaa mbele, zaidi ya polisi wanaosaka vyeo. Tutarudi lockdown wote. Tumechoka kuburuzwa. Tuumizwe kisha mpandisbe watu kizimbani kwa kushupaza kwenu shingo? Nunua chakula cha kutosha boss, tarehe 9 december utaona kisichofurahisha. Ww hakikisha uwe tayari kutoa ushahidi wa kura 31m zilipigwa na kina nani.
Waambie hao wanaokamata wenzetu na kuwafungulia kesi waache upuuzi huo maramoja. Wao ndio sababu ya kilichotokea. Rais huyu yuko madarakani kwa kunajisi uchaguzi, wasije madaraka ambayo hayajatoka kwa wananchi. Kinyume na hapo siku ya maandamani baki ndani kwako, acha watuue zaidi, lakini safari hii na familia zao watazika wengi.Kwani mimi nahusika kupiga watu au kuua watu?
Mkuu najaribu kuonge kulingana na hali ilivyo sio sawa kabisa
Safari hii sidhani kama utatoboa kama siku ile au unawadanganya nyumbu. Nashangaa hata hujakamatwa mpaka sasa au umeshakimbia nchi kama Lord Denning ??
Nawaambia wapi? Na kwanini unitume mimi?Waambie hao wanaokamata wenzetu na kuwafungulia kesi waache upuuzi huo maramoja. Wao ndio sababu ya kilichotokea. Rais huyu yuko madarakani kwa kunajisi uchaguzi, wasije madaraka ambayo hayajatoka kwa wananchi. Kinyume na hapo siku ya maandamani baki ndani kwako, acha watuue zaidi, lakini safari hii na familia zao watazika wengi.
Ahahaha 😂 😂 😂 😂Kwanza. Hao wahamasishaji ni wanawake. Kwa wasomi wa Biblia wanajua uhusiano wa wanawake na shetani.
Pili. Hao wahamasishaji mostly wako nje. That's why wengi walikuwa online hata serikali ya Tanzania ilipozima data.
Tatu. Serikali hii haina utata na mauzauza kama serikali ile ya jiwe, serikali ya hovyo. Cha ajabu machungu waliyofanyiwa upinzani zama za jiwe wanataka wajibu mapigo zama za Samia.
Tarehe 29-04 serikali ilitumia 1/6 ya power yake mlipoteana njia.
Safari hii itatumia 3/6.
Wazazi wenu hasa mama zenu watalia sana.
Watalia sana mkitikisa maji ya moto huku hamjafunga kifuniko.
Siku zote hasira hua ni hasaraHawa watu wano jifanya wameumizwa na vifo vya watu ni waongo maana. Huwezi andaa tena ugomvi mwingine wakati mwanzo ulishindwa uka zika watu wengi now lazima msome nyakati na mumsome adui yenu mjue udhaifu wake upo wapi
Baada ya kunusurika kutekwa aliondoka. Nadhani yupo USHuyu dada anatakiwa aondoke hapo Kenya na aende nchi za wazungu kama bado yupo hapo.
Kenya sio salama kwake kama anaendelea na hizi pilika.....
Wakitenda haki na kuacha kuongea watu huyo unayemsema hata pata wa kumuunga mkonoIvi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Hii ya tarehe 29 iliniuma sana, unapigaje risasi watu wasiokuwa na silaha yoyote mkoniKwanza. Hao wahamasishaji ni wanawake. Kwa wasomi wa Biblia wanajua uhusiano wa wanawake na shetani.
Pili. Hao wahamasishaji mostly wako nje. That's why wengi walikuwa online hata serikali ya Tanzania ilipozima data.
Tatu. Serikali hii haina utata na mauzauza kama serikali ile ya jiwe, serikali ya hovyo. Cha ajabu machungu waliyofanyiwa upinzani zama za jiwe wanataka wajibu mapigo zama za Samia.
Tarehe 29-04 serikali ilitumia 1/6 ya power yake mlipoteana njia.
Safari hii itatumia 3/6.
Wazazi wenu hasa mama zenu watalia sana.
Watalia sana mkitikisa maji ya moto huku hamjafunga kifuniko.
Mtatawala nani sasa?Kwanza. Hao wahamasishaji ni wanawake. Kwa wasomi wa Biblia wanajua uhusiano wa wanawake na shetani.
Pili. Hao wahamasishaji mostly wako nje. That's why wengi walikuwa online hata serikali ya Tanzania ilipozima data.
Tatu. Serikali hii haina utata na mauzauza kama serikali ile ya jiwe, serikali ya hovyo. Cha ajabu machungu waliyofanyiwa upinzani zama za jiwe wanataka wajibu mapigo zama za Samia.
Tarehe 29-04 serikali ilitumia 1/6 ya power yake mlipoteana njia.
Safari hii itatumia 3/6.
Wazazi wenu hasa mama zenu watalia sana.
Watalia sana mkitikisa maji ya moto huku hamjafunga kifuniko.
Inaumiza sana, kama vile tu wanyamaImagine unamfanyia hivi mwenzako.. Tukutane Dec 9View attachment 3498791