PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kabisa.

Mwezi mmoja unatosha sana kujiandaa.
Inatakiwa kujipaga kimkakati kwanza inatakiwa tuwe na silaha hata ziwe chache, itasaidia ukombozi, dhidi ya polisi atakayezuia kupata haki zetu. Pili tutengenezi acount tuanze michango yakujifadhili sisi mwenyewe, watakaojeruhiwa au kupata ajari kwenye, maandamano, hizi pesa zitasaidia madaktari kulipa n.k mpango huu uwe na siri mikoa yote ya Tanganyika.
 
Wanakuwaga wana power wakiwa wengi, akiwa mwenyewe hata ww unamtandika vizuri
Dodoma majuzi kilipowaka maaskari waliokuwa wanalinda/doria maeneo ya chuo kimoja walizidiwa wakakimbia, Wengine wakavua gwanda ili wachanganyike na raia,

Polisi wa kike wakapitia madera yalioanikwa na wanachuo kwenye kamba wakavaa juu ya gwanda wakitimua mbio na buti zao.

CCP wanafundishwa nini juu ya mahusiano ya polisi na raia? Kwanini wakiwa wengi wanaonea raia?
 
Kama waNepal waliiangusha serikali kwa sababu tu ya kuzima mtandao, tuna kila sababu ya kuiondoa serikali ya CCM madarakani. Huwevi kuua, kuteka watu na bado unatisha na kukamata watu eti tukae kimya tu. Hapana Hapana
Ukiona hivyo yaani "wanataka tusiongee" ujue bado hawajamaliza mission yao wana mpango wakuendelea kuua zaidi, hawatufai. Hawataki makubaliano/maridhiano wanataka mambo yao tu ndio yaende..kazi kututia umasikini tu kama taifa.
 
HII HAILENGI KUMCHOCHEA MTU

Nchi hii ilipata uhuru 09 Dec, na wananchi walifurahia uhuru wao vizuri kabla hawajaingia wakoloni weusi

Sasa nchi imerudishwa tena utumwani na wakoloni weusi,
πŸ‘‰ Hakuna HAKI
πŸ‘‰ Hakuna uhuru wa maoni
πŸ‘‰ Hakuna uwajibikaji
πŸ‘‰ Mauaji, kutekana, kupotezana, kuumiza imekuwa desturi
πŸ‘‰ Jeuri ya viongozi imezidi kipimo
πŸ‘‰ Hakuna chombo cha habari chenye msuli wa kuhabarisha kile umma unataka
πŸ‘‰ Rushwa na kujilimbikizia malipo
πŸ‘‰ Ubadhirifu wa Mali za umma na matumizi mabaya ya madaraka
πŸ‘‰ Watoto wa viongozi wamepewa fimbo wachunge raia, wanatesa, wanaiba, wanapora, wanaua n.k

Sasa wamefikia hatua ya kuangamiza vijana kwa risasi hadharani na kuwaita vijana hao wahuni, wezi, vibaka, wahaini n.k
Na sasa wanawapa kesi za kindezi za uhaini watu ambao hana majambia hawana

SASA, 09 Dec, tunaenda kuirudisha Tanganyika kwa watanganyika
Tunaenda kumtoa yeyote aliyemo nje ili tuwaweke watanganyika wenye mapenzi mema na watanganyika wenzao
Tunaenda kumtoa mkoloni mweusi, yeyote kati yao lazima atoke

Na mwisho, huu muungano tutaangalia tuuache au tuuvunje
 
Umeliweka vizuri sasa basi badala ya kubeza jitihada za vijana tukae kwa pamoja na kuweka mikakati namna ya kuendelea haya mambo kwa mafanikio.
 
Nimeona kwenye group fulani la madent wakiwa wamehamasika sana kushiriki ukombozi tarehe 9/12. Mambo yatakuwa ni fire!

First 11 ya MASHAMBULIZI itakuwa kama ifuatavyo:+
1. UDSM.
2. UDOM.
3. SAUT.
4. SUA.
5. IFM.
6. RUCO.
7. BUGANDO.
8. MUHAS.
9. TECU.
10. MZUMBE.
11. ARDHI University..

Vilivyobakia vitakuwa sub.
 
Umeliweka vizuri sasa basi badala ya kubeza jitihada za vijana tukae kwa pamoja na kuweka mikakati namna ya kuendelea haya mambo kwa mafanikio.
Sawa kabisa, ya kwanza ni kubadilisha mtazamo kwamba tunaenda kwenye maandamano na kuwa tuko vitani. (haiwezi kuwa maandamano kama kuna raia waliokuwa pembeni na wakafuatwa kuuliwa [waja vile vile makafiri walidhulumiwa uhai wao])
 

hii nchi ina watu wajinga sana, inakuaje mpuuzi kama huyu anaonekanwa mtu wa maana wakusikilzwa kabisa?
 

hahaha mtafanya wasivifungue hivyo vyuo
 
hii nchi ina watu wajinga sana, inakuaje mpuuzi kama huyu anaonekanwa mtu wa maana wakusikilzwa kabisa?
We ndio zuzu ulikua unasema hamna mtu wa kutoka vipi wallotoka siku sita yalikua makalio Yako 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…