Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Eee Mungu tusaidie D9 iwe siku ya kurudisha haki, amani na utulivu katika nchi yetuKabisa nchii hii baada ya tarehe 9/12 haitatawalika Tena mpaka Samia na genge lake watupishe
InshallahEee Mungu tusaidie D9 iwe siku ya kurudisha haki, amani na utulivu katika nchi yetu
Mimi nanihoja za kisheria za kupinga uchaguzi haukuwa wa kiraia wewe una taka serikali ipige risasi kwa muujibu wa sheria gani mbumbumbu weweSerikali siku hiyo pigeni chuma hawa vibaka
Basi Atakutawala wewe peke yako,Kwakua Mama yako hapo nyumbani kafanya Baba yako ashindwe kutawala nyumbani kwenu unafikiri na wewe utatuletea ujinga wako? Tutakuzika ukiwa hai wewe na wezi wenzako mnaopanga kuvunja maduka ya watu
Nakwambia hivi baada ya maandamano yaliyogeuka uhalifu hakuna wa kuwakubalia mbwa kabisaBasi Atakutawala wewe peke yako,
Subiri #D9 ndio utajua nina maana gani unafikiri kuna mtu wa kutubabaisha umma ?Unamaana gani? Umevuta bangi? Kwanini isitawalike?
Kwanza Tanzania hakuna serikaliMimi nanihoja za kisheria za kupinga uchaguzi haukuwa wa kiraia wewe una taka serikali ipige risasi kwa muujibu wa sheria gani mbumbumbu wewe
Hivi unaposema hautambui uchaguzi ni sheria gan hapo unaitumia kuthibitisha hili? Usiwasemee watanzania wote jisemee wewe peke yako, watu wachache msijifanye kwamba mmebeba maono ya watanzania wote.Kuanzia #D9 tutahakikisha nchi haitawiliki hii watu wanaojifanya viziwi watasikia waruke ruke walagalegale wajiteuwe hawato tawala.
Sisi hatuutambui uchaguzi wala wauwaji waliouwa ndugu zetu kabisa kabisa Tanzania haina raisi wala mbunge sasa utake usitake sisi hatuwatambui na hatupo chini ya uongozi wa yoyote na tutathibitisha hilo December 9 tutasimamisha nchi nzima hakuna shughuli hata ya nzi itakayofanya kazi.
Hakuna mtu mwenye nguvu kuliko wananchi tutathibitisha hiloNakwambia hivi baada ya maandamano yaliyogeuka uhalifu hakuna wa kuwakubalia mbwa kabisa
Wananchi ama wahalifu?Hakuna mtu mwenye nguvu kuliko wananchi tutathibitisha hilo