PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
K&ma kweli we,
 
Vikifulululiza vyuma vya masikio tu

Kila mtu lazima ale kona kujifungia ndani hata wewe mtoa mada

Hebu tuhubiri amani Mkuu yale mauaji yalotokea wengine hatupendi kuona unyama ule ukitokea tena
 
Serikali siku hiyo pigeni chuma hawa vibaka
Piga ww wenzako walikimbia nchi hata Samia alikuja msumbiji na sehemu nyengine kujificha. Kwani hao waliondamana wameogopa kwamba hawataandamana tena.?
 
Vikifulululiza vyuma vya masikio tu

Kila mtu lazima ale kona kujifungia ndani hata wewe mtoa mada

Hebu tuhubiri amani Mkuu yale mauaji yalotokea wengine hatupendi kuona unyama ule ukitokea tena
Ukihubiri amani hubiri na haki ya wananchi hatuwezi kufanya amani na wezi

Hata wewe unaweza kufanya amani na mwizi labda uwe mwehu.
 
Ukihubiri amani hubiri na haki ya wananchi hatuwezi kufanya amani na wezi

Hata wewe unaweza kufanya amani na mwizi labda uwe mwehu.
Acheni huu upuuzi wa kuwa pump vijana kuingia mtaani na kwenda kuuliwa senseless; hawa watu wameonyesha hawathamini maisha. Ingekuwa rahisi hivyo kuyatoa madikteta ‘Venezuela’ wangeshamtoa Maduro ambae attempt mpaka sasa zinaweza fika 10, na nyingi ni US backed.

Achaneni na hayo maandamano ya 9/12 hayatazaa lolote zaidi ya miili ya watoto wasioelewa ugumu wa situation wanayotaka kupambana nayo.

Kilichobaki ni wenye silaha kupambana sio raia tena.

C&P Mayor Quimby
 
Vikifulululiza vyuma vya masikio tu

Kila mtu lazima ale kona kujifungia ndani hata wewe mtoa mada

Hebu tuhubiri amani Mkuu yale mauaji yalotokea wengine hatupendi kuona unyama ule ukitokea tena
Endeleeni kujidanganya hii nchi ishazalisha magaidi halafu mnaweka pamba masikini hayaa
 
Hii nchi lazima damu zimwagike tufe wote na machawa mkiwemo full stop utake usitake
 
Kwani kabla ya maandamano tulikuwa hatupigwi risasi na kutekwa ?

Hakuna maandamano yatakayo achwa bila mateka kuachiliwa, uchaguzi kufutwa, wauwaji kuchukuliwa hatua za kisheria na katiba mpya ipatikane.
 
Sisapoti mauaji napenda amani siku zote
Endeleeni kusapoti si mnaona sifa kuonea raia Kwa kigezo Cha kushikiria dola damu zitamwagika sana tu hii nchi kimeshanuka mnafikiri njia nzuri ni bunduki halafu hamjiulizi na wenzenu wakija na bunduki mtapona?
 
Mbona unaniweka huo upande mkuu?

Yani kuipinga hiyo approach ya violent protests ndo umeniweka upande wa wauaji?

Sisi sote ni wahanga wa huu utawala
 
Mbona unaniweka huo upande mkuu?

Yani kuipinga hiyo approach ya violent protests ndo umeniweka upande wa wauaji?

Sisi sote ni wahanga wa huu utawala
Unavyoona wewe raia wa chini na raia mpenda haki afanye nink Ili zpate haki na amani ya kweli hapa tanzania wakae waendelee kuonewa kuuwawa na kutekwa kimya kimya au waingie barabarani wakafe dunia Ione
 
Kwani kabla ya maandamano tulikuwa hatupigwi risasi na kutekwa ?

Hakuna maandamano yatakayo achwa bila mateka kuachiliwa, uchaguzi kufutwa, wauwaji kuchukuliwa hatua za kisheria na katiba

Achaneni na hayo maandamano ya 9/12 hayatazaa lolote zaidi ya miili ya watoto wasioelewa ugumu wa situation wanayotaka kupambana nayo.
 
Achaneni na hayo maandamano ya 9/12 hayatazaa lolote zaidi ya miili ya watoto wasioelewa ugumu wa situation wanayotaka kupambana nayo.
Kwanini uiambii serikali isikilize raia. Lakini wewe umekaa upande wa mtesaji ukiwalazimisha wateswaji waache kuandamana nikuambie tu tanzania inaenda kubadili rangi ya bendera soon
 
sisi hatupo chini ya samia wala mwigulu wala nchimbi wala CCM wala nani kujiteuwa na kujifanya kiziwi hakubalishi chochote sisi kazi ni ndogo sana tukane tarehe #D9 hama zetu hama zao

Hakuna maandamano yatakayo fanyika kabisa iwapo mateka kuachiliwa, uchaguzi kufutwa, wauwaji kuchukuliwa hatua za kisheria na katiba mpya ipatikane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…