Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
yes, ili kushinikiza mabadiliko na wauwaji waliouwa kaka na dada zao wawajibishweWewe ndo huna akili unayetaka mpaka watoto waingie barabarani
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuandika huo upuuzi
Jitathmini
Naanza na ester bulaya anasema wasiotaka maridhiano wana lao kwasababu rais wao anataka maridhiano. Huyu anachochea makusudi hasira za watanzania kwasababu ccm wanataka maridhiano wakishaiba kura baada ya hapo ni mwendo wa kuwateka na kuwapoteza watanzania ukifika tena muda wa uchaguzi mduara unarudi pale pale maridhiano safari hii watanzania hawataki hizo ghiliba mduara wa mateso wanaukata wao wenyewe.
Kauli za namna hii wakati watu zaidi ya 5000+ wameuwawa na ushahidi upo ni kuamsha hasira za wananchi huyu labda akae kota Kwa usalama wa familia yake.
Wanadhani walimu na watendaji walioshiriki kujaza kura feki sio ndugu zetu? Matokeo yanatengenezwa Kwa calculator ya cassio halafu yanatumwa Kwa halojimbo yote hayo yanajulikana hakuna uchaguzi wa weledi pale ni machukizo mbele ya Mungu."Naipongeza tume huru ya uchaguzi kwa kuendesha uchaguzi wa mwaka huu kwa weledi'. Hii ni dhihaka kwa watanzania.
Ester ni mjinga.Naanza na ester bulaya anasema wasiotaka maridhiano wana lao kwasababu rais wao anataka maridhiano. Huyu anachochea makusudi hasira za watanzania kwasababu ccm wanataka maridhiano wakishaiba kura baada ya hapo ni mwendo wa kuwateka na kuwapoteza watanzania ukifika tena muda wa uchaguzi mduara unarudi pale pale maridhiano safari hii watanzania hawataki hizo ghiliba mduara wa mateso wanaukata wao wenyewe.
Huyu Ester achunge sana. Hako kamdomo katampoza sana wewe subiri tu.Ester kachemewa lodge aliyokuwa anafikia kwa Babu yake wasira palikura kiberiti bado anaropoka tu
😂😂 wako kwenye keyboard wanawasukuma wenzao wakafanye fujoCha kufanya hapo pelekeni majeshi mtaani yakafanye mazoezi ya pamoja.
Watanzania waoga sana. Si ndio hivyo?
Brother shut your damn mouth. si kila mtu anpambania wazaz, wengine wazazi walishajenga msingi wanajiwezaWale ambao mnatumia nguvu kubwa kuhakikisha mnafanya maandamano izo nguvu zihamishieni kwenye kufanya maendeleo, Mkipigania wazazi wenu basi hesabu baraka nyingi sana
Wauwaji wapatikane kwanza, katiba mpya, uchaguzi urudiwe, tupate rais tunayemtaka sisi, huyo mnywa damu za watanganyika hapana. So kaa kwa kutuliaWale ambao mnatumia nguvu kubwa kuhakikisha mnafanya maandamano izo nguvu zihamishieni kwenye kufanya maendeleo, Mkipigania wazazi wenu basi hesabu baraka nyingi sana
Weeeeeee! Za moto zipo pia Kwa Gen-Z. KazikaziKama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.