Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
- Thread starter
-
- #81
Mbona Milio🤣Bado hamjajifunza namna maandamano yalivyosababisha fitna na mabalaa kwetu. Nimejifunza kitu, kwa yaliyotokea na kwa jinsi nilivyoona kwenye baadhi ya vyombo vya habari vya nje hasa vya Kenya, nimeamini kuna hujuma Tanzania inafanyiwa, na Allah ni Mjuzi zaidi.
Damu za ndugu zetu hazijawatosha. Na uharibifu wote uliotokea hayajawatosha, mnataka muichome nchi yetu zaidi na watu wafe halafu msambaze picha za maiti zao kudhalilisha utu wao zaidi, mnataka kutimiza malengo yenu kwa damu zetu na heshima zetu. Nyinyi sio watu wazuri kabisa.
Wameshajipanga.Kama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
No matter how,mkishindwa kuelewana Huwa Kuna ulazima wa kubomoa ili kuanza kujenga upya,na hicho ndo kinahitajika kwa sasa ili kupambana na mkoloni CCM
Utakufa Sasa utake usitake lazima kiwake mbwa nyie mmezoea kuzungumza amani feki lazima tuwaonyeshe kaziHatukubali kuichoma nchi yetu moto. Wengine hatuna pa kwenda, nyumbani ndio hapa. Hiyo haki haitakuwepo na hautai enjoy kama hakuna Amani.
Ni bora hiyo CCM kuliko machafuko na uvunjivu wa Amani.
Mkuu unataka kumuibia Lucas ephen wake.Walahi ephen_ nimekumisi upo gudi uko ulipo 😎
Sema huna muda wewe sisi wengine muda tunaoHatuna huo mda sasa hivi
Inatakiwa vijana watumie logic zaidi kuliko emotions.Kama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
Nimekuuliza au shobo mwanangu?
Mashallah Nimefurahi kukuona humu JFNipo good hofu kwako
Ndio tunataka tuendelee kuona hiyo nguvu ya risasi. Sisi tutaandamana kwa amani. Lakini mkija na vitisho mtatuua na sisi tutachoma tutakavyochoma. Ifahamike safari hata familia za askari tutazifanyia mauaji. Tumeshaichoka ccm, na vile haina uhalali wa kura hapo ndio mtafurahi.Kama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
Waache wamechagua wenyewe kufa kwa ajili ya taifa lao na utu wao.Kama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
Mtoto wa mama kaa kwa Kutulia,hulazimishwi kuandamanaHatukubali kuichoma nchi yetu moto. Wengine hatuna pa kwenda, nyumbani ndio hapa. Hiyo haki haitakuwepo na hautai enjoy kama hakuna Amani.
Ni bora hiyo CCM kuliko machafuko na uvunjivu wa Amani.
Waambie waputue tulio la Tianmen square..wakijaribunkufanya TENA vurugu. Tunakujua na vifavu kuwamaliza mpaka mifupa yaoGen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro
Ila sasa itabidi Gen Z wabadili mbinu za mashambulizi, wafanye " multiple attacks" kama Al Qaida, kulipua sehemu tofauti tofauti kwa wakati mmoja .Wajipange haswaa. Kuandamana kukutana na vyombo vya dola haipo vizuri maana wao wana risasi za moto.Lets push this agenda
Hivi Muliro yupo?Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro
MTo
Mtoto wa mama kaa kwa Kutumia,hulazimishwi kuandamana