ungekua na wazazi bora usingekua unakaa unahangaika na siasa, povery has enslaved youBrother shut your damn mouth. si kila mtu anpambania wazaz, wengine wazazi walishajenga msingi wanajiweza
So usijifanye mr ushauri saana as if watu hawajui la kufanya
move on things have happend alreadyWauwaji wapatikane kwanza, katiba mpya, uchaguzi urudiwe, tupate rais tunayemtaka sisi, huyo mnywa damu za watanganyika hapana. So kaa kwa kutulia
Sio kizazi cha mwaka 80 hivi, every one has to be held accountable for what he/she did. The first step being the president to step downmove on things have happend already
president to step down 😂😂😂, just move on, you have 5 years aheadSio kizazi cha mwaka 80 hivi, every one has to be held accountable for what he/she did. The first step being the president to step down
Including the IGP, CDF, DCI and others. Kaa kwa kutulia, hii nchi sio ya Samia na Kikwete. Wala sio ya CCM.president to step down 😂😂😂, just move on, you have 5 years ahead
nimekaa kwa kutulia nenda kawaambie wastep down 😂Including the IGP, CDF, DCI and others. Kaa kwa kutulia, hii nchi sio ya Samia na Kikwete. Wala sio ya CCM.
Wapo na wananawiri, so huna mamlaka ya kuniambia most of all huna umri wa kunishauri chochoteungekua na wazazi bora usingekua unakaa unahangaika na siasa, povery has enslaved you
Endelea kutulia hivyo hivyo.nimekaa kwa kutulia nenda kawaambie wastep down 😂
ananawiri kwa lipi unasubiria maadamano ukaibe biaWapo na wananawiri, so huna mamlaka ya kuniambia most of all huna umri wa kunishauri chochote
Mpaka sasa wana presha gen z watawauwa kwa presha hawa29.10 mama Dullah alikimbilia Nairobi. Mstaafu alikimbilia South Africa.
Unafahamu hilo?
Hahaha pole sana, tafuta ligi ndogo, nilipo nipo waaay aboveananawiri kwa lipi unasubiria maadamano ukaibe bia
way above unashindana kuiba bia 😂Hahaha pole sana, tafuta ligi ndogo, nilipo nipo waaay above
A revolution is a process not an event, tayari Tanzania ilisha pata revolution kilicho bakia ni uongozi kukubaliana na mabadiliko.Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ni tukio la kihistoria lililotokea tarehe 12 Januari 1964, ambalo lilisababisha kupinduliwa kwa utawala wa Sultani wa Zanzibar Jamshid bin Abdullah na serikali yake iliyokuwa imejaa uonevu na dhulma kwa watu weusi.
Mapinduzi haya yalitokea baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi hasa waliokuwa makuli wa bandarini kupuuzwa.
Leo hii kuna kilio cha wananchi cha kutekwa, kuteswa, kupotezwa, kuuawa na vyombo vya dola kwa wapendwa wao ambacho kimepuuzwa na watawala kwa muda mrefu. Madai mengine ni Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi.
Hivyo wananchi kupitia vijana Gen Z wametoa taarifa kuwa tarehe 912 watafanya maandamano ili kupaza sauti zao zisikilizwe.
Inawezekana nasema tena inawezekana endapo serikali itaendelea kuziba masikio na kupuuza kilio cha hawa vijana yanaweza kutokea kama yaliyotokea Zanzibar tarehe 12 January 1964, yaani MAPINDUZI MATUKUFU YA TANGANYIKA.