Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
unajua shutuma anazo shitakiwa nazo ni kama za samia? ufisadi, utekaji na ushirika na makundi ya kigaidi ya mexico hapo wakisema hawatoki ikulu na huyo raisi ataongoza wakina nani kwa hizi shtuma huyo kashaendaBado sana kaka, serikal hazianguki over one day.
Serikal bado ipo, na ime announce new security strategy
Huna akili nisikujibu.we fala upo USA unafikiri kuna mtu atakomboa nchi kwa niaba yako yaani uende uuliwe kwa mihemko .!
usichukulie poa vijana wajinga watakusikiliza ila nyie familia zenu kwakuwa zipo ulaya unabwabwaja tu
Angalau Serikali yao haitumii mbinu za kishetani za Serikali ya CCM. Hivyo ndivyo Serikali inavyopaswa kuenenda!Gen z mexico tayari wamesha angusha serikali ndani ya siku moja na sisi tunatakiwa kuthibiti ikulu na bunge basi sio kuzunguka tu barabarani.
#D9 tujitokeze Uelekeo ni ikulu na bungeni kwa jasho na damu tuchukueni majengo yetu tukisha chukua kazi umekwisha kabisa kabisa tutaunda serikali ya wananchi.
unazngua mkuuHuna akili nisikujibu.
Piga chini bro utajiharibia sifa muache aongee peke yakeHuna akili nisikujibu.
Mimi sizingui naongea mambo ya msingi sana inategemea na uwezo wako wa akili upo vipiunazngua mkuu
sasa unataka madogo wakauliwe tena hiyo 9D huku wewe ukiwa USA ? yaani im not sure kama mpo makini na mnapenda future za vijanaMimi sizingui naongea mambo ya msingi sana inategemea na uwezo wako wa akili upo vipi
kwani kuuliwa kumeanza tu kwenye maandamano? unajua sababu kuu za maandamano hivi unaakili timamu kweli wewesasa unataka madogo wakauliwe tena hiyo 9D huku wewe ukiwa USA ? yaani im not sure kama mpo makini na mnapenda future za vijana
unajua shutuma anazo shitakiwa nazo ni kama za samia? ufisadi, utekaji na ushirika na makundi ya kigaidi ya mexico hapo wakisema hawatoki ikulu na huyo raisi ataongoza wakina nani kwa hizi shtuma huyo kashaenda
No ah demands ziko tofauti sio kama za samia. kuna ambazo ni world wide but mexico ni different kidogounajua shutuma anazo shitakiwa nazo ni kama za samia? ufisadi, utekaji na ushirika na makundi ya kigaidi ya mexico hapo wakisema hawatoki ikulu na huyo raisi ataongoza wakina nani kwa hizi shtuma huyo kashaenda
Tatizo huku vijana wanafuata mkumbo tuNo ah demands ziko tofauti sio kama za samia. kuna ambazo ni world wide but mexico ni different kidogo
first of all wanashangaa serikal inashindwa kumaliza crime empire ya drugs, drug violence. Ni tatizo la miaka na miaka
Justice and accountability, especial majuzi kiongoz mmoja kipenz cha wananchi was shot in broad day light, na serikal imeshindwa kuja na majibu
Vingine ni rushwa (regular) na wanataka serikali iwe na msimamo mkali juu ya crime
Hii ni ngumu sana kwa serikali yoyote ya Mexico pekee bila ushirikiano na jirani yake wa kaskazini mwenye nguvufirst of all wanashangaa serikal inashindwa kumaliza crime empire ya drugs, drug violence. Ni tatizo la miaka na miaka
Inasaidia kukomesha utekaji na wizi wa rasilimali za nchi ubambikiaji wa kesi na ukamataji wananchi hovyo, uwajibikaji na amani kwahiyo huna akiliHaiwasaidii kitu.
Wajibu wa kufanya kazi unabakia pale pale.
Maisha hayabadiliki kwa kupindua serikali.
Hii ni ngumu sana kwa serikali yoyote ya Mexico pekee bila ushirikiano na jirani yake wa kaskazini mwenye nguvu
Isitoshe ghasia za magenge ya wahalifu na madawa ya kulevya yanachangiwa zaidi na soko kubwa la hiyo biashara liliopo Marekani.
Hii ni ngumu sana kwa serikali yoyote ya Mexico pekee bila ushirikiano na jirani yake wa kaskazini mwenye nguvu
Isitoshe ghasia za magenge ya wahalifu na madawa ya kulevya yanachangiwa zaidi na soko kubwa la hiyo biashara liliopo Marekani.
Itabidi afungue border american troos waingie kupiga mzigoHii ni ngumu sana kwa serikali yoyote ya Mexico pekee bila ushirikiano na jirani yake wa kaskazini mwenye nguvu
Isitoshe ghasia za magenge ya wahalifu na madawa ya kulevya yanachangiwa zaidi na soko kubwa la hiyo biashara liliopo Marekani.
Matako yakoGen z mexico tayari wamesha angusha serikali ndani ya siku moja na sisi tunatakiwa kuthibiti ikulu na bunge basi sio kuzunguka tu barabarani.
#D9 tujitokeze Uelekeo ni ikulu na bungeni kwa jasho na damu tuchukueni majengo yetu tukisha chukua kazi umekwisha kabisa kabisa tutaunda serikali ya wananchi.
Kwa huu umati polisi utasimama umpige risasi nani na uchomoke samala kabisa.
View attachment 3502868
Hawawezi kukubali hili kirahisi maana huko ni kuweka rehani Uhuru wao.Itabidi afungue border american troos waingie kupiga mzigo
Else cartel wameshajipenyeza serikalin , ni ngumu kushinda hiyo vita