PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Natamani D9 iwe kesho aisee
 
Wameshaanza vitisho
 
Kuelekea Mziki wa #D9 Sioni vitisho vya polisi au yoyote naona hata machawa wa awali wamekaa kimya Hakuna kujitoa akili sasa wameibuka wapya bungeni hao tutadili nao.

Tunawataka watu kama hawa wa kuwasalimia pale bungeni.
 

Tanganyika mpya inakuja ...amini kwamba..
 
Wameua ndugu zetu. Hawakuwa na silaha. Walahi lazima walipie. Watalipa naapa kwa Allah. D9 haichekeshi walahi. Tutatoka watumalizie.

Wameua baba sasa waniue mimi. Nakuwa chawa wenu malipo mwaua baba yangu. Heeeehee! Walahi lazima nilipe. Nawajua waliomuua baba yangu. Afu mwateka mpaka rais mayii wee.

D9 ngazi ya pili twaenda kuipanda walahi miye sijui. Na bado. Mwateuana ili tutoke reli heee hee mmekwama. Na bado
 
Mjulishe mwenzio. Siku 20 zimebaki twaenda kukomboa nchi. Mapapa twaenda kuyavua na kuyapa haki ya kikatiba. Tumejipanga. Idadi yetu imeongezeka. Walahi tutashangaza mafisadi. Twajua polisi kazi tulowaagiza mtafanya ipendeze. Tumewakaribia sana. Washaanza kusalitiana. Heee hee mayii. Hatupoi siye. Mchuma umewaka huo ngazi ataachia walahi. Na bado
 
Hivi ni wewe au id wamempa mtu mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…