PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ndugu wa Tanzania hakikisheni mnatoa fedha zenu mlizotunza huko kabla hazijashuka thamani na hamuwezi kuzitoa.

Kwa wale wenye akiba za milioni hakikisheni mnazitunza akiba zenu kwa dhahabu au fedha za kigeni
Kutoa pesa hakusihidii bali kuziweka katika akiba ya usa dola ni sahihi zaidi kwa zile benki zenye huduma hiyo au dhahabu kama ulivyo sema
 
Kutoa pesa hakusahidii bali kuziweka katika hakiba ya dola ni sahihi zaidi kwa zile benki zenye huduma hiyo au dhahabu kama ulivyo sema
Kutoa pesa kwa wingi ni njia moja ya kipekee ya kuiangusha serikali hii
 
Ndio wakizuia tatizo linazidi
Hamna kitu hapo lengo ni maandamano mkileta mambo mengine watu watajigawa mwisho mtakua peke yenu barabarani mnataka kuingia kwenye maisha ya watu kama Samia alivyoingia kwenye maisha ya watu na kuwafanya watu waandamane
 
Ndio wakizuia tatizo linazidi
Sa100 ni mpumbavu yeye ajali kufa kwa uchumi hata kidogo wala kuporomoka kwa sh hivyo atachapa fedha kaka mzee mwinyi alivyo kuwa anafanya na ndiyo sh inakwenda kupoteza dhamani kabisa ...hapo ndiyo ukweli wa kuporomoka shillingi ulipo
 
Hamna kitu hapo lengo ni maandamano mkileta mambo mengine watu watajigawa mwisho mtakua peke yenu barabarani mnataka kuingia kwenye maisha ya watu kama Samia alivyoingia kwenye maisha ya watu na kuwafanya watu waandamane
Kutoa pesa kwenye mabenki ni njia za mwanzo na ni strategic approach tofauti kabisa na kwenda barabarani, very calculated
 
Kutoa pesa kwenye mabenki ni njia za mwanzo na ni strategic approach tofauti kabisa na kwenda barabarani, very calculated
Sisi tunachojua tarehe 9 ni siku ya kumshugulikia Samia msiingilie maisha ya raia mtajikuta barabarani mko watano
 
Sa100 ni mpumbavu yeye ajali kufa kwa uchumi hata kidogo wala kuporomoka kwa sh hivyo atachapa fedha kaka mzee mwinyi alivyo kuwa anafanya na ndiyo sh inakwenda kupoteza dhamani kabisa ...hapo ndiyo ukweli wa kuporomoka shillingi ulipo
Kuna bank Tanzania ina asset ya billion 50 na deposit ya billion 40...

So endapo watu tutafanya economic protest wakatoa pesa zako basi itabidi iwepo liquidation ifanyike au BoT iingilie kati

Kingine bank za Tanzania zinakopa kwa dola zina earn kwa shilingi, shillingi ikianguka deni lao linakuwa worse au wanashindwa kulipa, at the same time watu tukiwa na foreign currency (currency hording) serikali itaangaika kupata fx at the same time tutakuwa na parallel market ya foreign exchange.

The whole idea ni kutengeneza situation kama ya Zimbabwe, hawa wapuuzi wa samia either wabaki na mabilioni yasiyo na thamani au wayabadili kuwa dola shillings ianguke zaidi au wayatoe Tanzania (wafanye capital flight wenyewe).

Tunataka Watanzania wote tuwe sawa in terms of finances tuwe sawa kabisa ili vita iwe equal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…