PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mbona mulishindwa kujilinda wakati watu Mali zao zinaibiwa na maduka yao kuchomwa moto acheni upuuzi kisa wewe hakuna ulichopoteza unashawishi ujinga sawa safari hii lazima na wewe u
Nani alikua anaiba? make watu wote, walikua wamezuiwa kutoka, nje na ukitoka tu unapigwa risasi, kama sio wao polisi ndio, walikua wanaiba.
 
kunavijana wengi tu, wako mitaani hawana kazi, wanaelimu za juu na maandili wale wale tutawaajili kuwa mapolisi, watakuja kufanya kazi kwa kufata katiba ya nchi. Kuliko hawa mapoliccm kuwafuta kabisa hawa.
Hata hao nao pia watakuwa kama Hawa wa sasa polisi kazi yao kulinda Mali za watu zisiaribiwe inamaana hao mutakao waajiri wataacha muharibu Mali za watu kama mulivyo fanya siku zile wao watakuwa wanafurahia sasa hao polisi gani maana wakisema walinde Mali mutawaona makatili kama Hawa wa sasa
 
kunavijana wengi tu, wako mitaani hawana kazi, wanaelimu za juu na maandili wale wale tutawaajili kuwa mapolisi, watakuja kufanya kazi kwa kufata katiba ya nchi. Kuliko hawa mapoliccm kuwafuta kabisa hawa.
Hata hao nao pia watakuwa kama Hawa wa sasa polisi kazi yao kulinda Mali za watu zisiaribiwe inamaana hao mutakao waajiri wataacha muharibu Mali za watu kama mulivyo fanya siku zile wao watakuwa wanafurahia sasa hao polisi gani maana wakisema walinde Mali mutawaona
 
Mwatuua mwasema amani. Hakutakuwa na amani walahi. Lazima na nyie muonje mlichotufanyia. Tupo tayari tufe kwa mamilioni lakini nasi tuwafikie. Lau kama mngetaka amani mngefanya haki. Ima kwa kheri. Nye mwatetea wauaji wa ndugu zetu endeleeni. Mwasema walikuwa vibaka. Waiteni majina yote. Nyie watakatifu mlovaa suti sio mafisadi. Hizo pesa za mali zenyu mlopata bure. Na bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…