PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Miye tayari nilishajiprintia tisheti yenye picha ya mzee wangu. Nitabeba na picha walahi kama bango langu. Nilirudi nchini kwaajili hiyo walahi. Wenye ndugu waliouawa tokeni wote na picha zao. Nye ambao hamkuwa na ndugu walouawa tokeni na bendera na mabango. Twataka wasiokufa watuue wote. Polisi wenye kuua maelfu ya watu wao kulinda mu mmoja na genge lake. Mayi! Tutavaa picha za mashujaa mliowaua. Picha ya Polepole msisahau. Wale kikosi kazi mwajua chakufanya. Na bado
 
Vijana waliopata dhamana wote wameambiwa warudi kuripoti siku ya tar 8 December.
Najua wote wakienda hawatarudi Hadi ipite tar 9
 
Hawawezi kubali kupoteza Mali zao na Fedha zao zilizo Nje ya Nchi kisa MTU MMOJA AITWAYE SAMIA.

Samiaaa tulikuonyaaa, acha Utekaji, Acha wizi wa RASIMALI, Acha Kubinya Demokrasia, Acha Kumuonea LISSU ,Acha Kuiba Uchaguzi .

Samia hukusikiaa, Ukamsikiliza Kikwete Abdul, Mombo, Haji ,Mafwele...

Sasa kimekulambaaa

Wakati unawaza ya EU, tarehe 9 Dec tunakufurumusha IKULU Kwa namna yoyote utakavyokuja na utakavyotaka wewe !!.
 
Naandika haya kutokana na mwenendo mbaya wa serikali ya Tanzania kukataa ama kugomea kusikiliza nini haswa walipa kodi wake nini hasa wanataka
Kama walipa kodi ndio waendesha nchi walipa mishahara ya wabunge, mawaziri, samia pamoja na polisi ni kwanini serikali hii ikatae kusikiliza wanachi wake wanataka nini?

Ikiwa tunalipa kodi ambazo zinatumika kununua silaha kwaajili ya kutuua majumbani kwenu, tunalipa kodi kwaajili ya waliojiteua kufanya anasa serikali
Tunalipa kodi kwaajili ya kujibia kejeli pamoja na dharau kutoka kwa polisi pamoja naawaziri kuna umuhimu gani wa kulipa hizi kodi za biashara

Kwa pamoja walipa kodi hasahasa wafanyabiashara wa “KARIAKOO” serikali isiyo halali itakua haina budi kusikiliza waliowaajiri matakwa yao pamoja na kuyatekeleza.
Nawasihi wafanyabishara tuanze campaign ya kuogemea kukataa kulipa kodi kote TZ mpaka pale wale wote waliouwawa October 29 itolewe tamko ni wangapia

Nani alitoa order ya “shoot to kill”
Nani alitoa order miili ikazikwe porini nani wote hawa wawajibishwe

Kama serikali hii inajali MALI kuliko uhai basi haya ni makosa makubwa sana, magari miundombinu inaweza kujengwa tena kwa hizi hizi kodi za wananchi lakini uhai wa mtu hauwezi kurudi

KATAA KULIPA KODI KWA SERIKALI YENYE DHULMA
 
Watu pia wapake nyuso zao rangi ya damu!
 
Ogopa sana mtu Anayeweza kukupiga ukaumia sana kwa ndani halafu nje huna majeraha ndio EU hao😀

Kuna novel niliwahi kusoma, jamaa alikua anajua kupiga kwa staili hii, nakumbuka mpaka Leo hii sehemu inasema
"Molock knows where to hit that it hurts most and bruise least.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…