Hivi Lengo lenu ni kumfanya Rais ashindwe kabisa kuwaongoza wananchi 31,000,000 waliompigia kura?Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro
Ila msichome mali za Viongozi na za ummaNaunga mkono hoja ,ngoma inogile ,afile munu SHOW SHOW....Hakuna Gez Z mpesempese.
Litaungana na FFU, TISS n.kJeshi la wananchi litaunga mkono au litajificha?
kwamba watarud mtaan bila kinga ? unahisi wanasahau mapema au hawana akil ya kuja na plan B ?Kama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
Kwa kawaida wananchi wa nchi yoyote wakishachoka Utawala hawaogopi tena vifo. Refer Kenya, Madagascar, Somalia n.kThis time yaratibiwe vizuri, mabango ya kutosha na kero ziwekwe wazi, serikali na vyombo vya usalama vilinde watu wakifanya peaceful demonstrations.
Na ili ujue serikali za kiafrika ni katili, pamoja na coordination nzuri, bado watapiga na kuuwa.
Shame!!
kama kawaidaLitaungana na FFU, TISS n.k
Kujipanga kivipi? Polisi wa Tanzania huaramiaha maandamano yote yasioiunga mkono CCM na serekali yake.Kama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
Kujipanga kivipi? Polisi wa Tanzania huaramiaha maandamano yote yasioiunga mkono CCM na serekali yake.Kama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
Ndio nimeiba haya amua sasa.Ni nini ulichofanya kwenye haya yaliyopita ? Au ndiyo mmojawapo wa waliokuwa wanaiba mali za watu kwenye maduka makubwa?
Na wewe ulitoka?Tunawapa muda mrefu polisi wakujipanga ndiyo maana wanatuua
Yule DC wa kisarawe yupo? Anataka kuwapa watu tu dhambi aiseeNaunga mkono hoja ,ngoma inogile ,afile munu SHOW SHOW....Hakuna Gez Z mpesempese.
Unaoengea nini wewe au unaongelea mali za watu?!Nyinyi wahamasishaji wa maandamano mna mizigo yenu katika hili. NYINYI, tukiwaambia mtulie hamtaki, mmesababisha fitna ambayo iliwaenea waliohusika na wasiohusika. Mmesababisha ugumu kwetu sote. Na mimi sijaua mtu yoyote, sio kila ambaye anapinga uharibifu wenu basi lazima atakuwa Polisi au CCM. Wengine tunapinga haya maandamano na uasi dhidi ya watawala ili kuchunga damu za watu na kuchunga heshima za watu na mali zao. Tunachunga maslahi mapana zaidi. Nyinyi hamtengenezi, mnaharibu zaidi.
Adui Yako akishika bunduki wewe utashika nini!? vinginevyo ACHENI hayo mawazoKujipanga kivipi? Polisi wa Tanzania huaramiaha maandamano yote yasioiunga mkono CCM na serekali yake.
Sawaa yote Kwa yote.mauji ya juzi juzi ni ya kutisha sio ya kujirudia tuache ushabiki.maandamano yanapofeli inakuwa ni vita.kwamba watarud mtaan bila kinga ? unahisi wanasahau mapema au hawana akil ya kuja na plan B ?
Tuikumbushe serikali , kiburi kitatucost kama taifa
Saafi, share link maarifa yatembee... Grenades zikiwa za kutosha lazima mzigo urushwe kwenye mkutano wa CCMOyaa..nimepata pdf za kujifunzia kutengeneza vilipuzi. Naanza rasmi course