PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mijeledi left and right! Hana pa kutokea!
 
Fedha ya ufisadi inahifadhiwa kwa namna nyingi za usiri ikiwemo bitcoin, kuexchage kwa madini kama dhahabu na mengineyo

Pia ni wajanja hao, wana machaka yao ya kuficha fedha, kama kichaka cha wahuni Cyprus, visiwa vyote vya Caribbean Barbados πŸ‡§πŸ‡§ and the like!

Sio kirahisi hivyo kujua mali zake zote zilizoko nje mkuu.
 
Sahihi. Wameficha pesa walizoiba katika digital currencies ikiwemo USDC.
 
Kosa lilifanyika Alipomwua Ally Kibao I knew since that day the worse is coming. .. yule Mzee mamlaka mlibugi nisiulizwe chochote
Hata mimi nahisi hivyo hapo ndio alijipatia nuksi tangu damu ya mzee huyo ilipomwagika hajawahi kueleweka kwa wananchi
 
Kosa lilifanyika Alipomwua Ally Kibao I knew since that day the worse is coming. .. yule Mzee mamlaka mlibugi nisiulizwe chochote
Aliambiwa na jasusi la mbinguni unaenda kunuka kama mavi na ni kweli bhana
 
Umetoka zako Kimara Bonyokwa huko unataka kutetewa na CNN. Jichanganye hiyo tarehe ujishindie tiketi ya Parapanda.

#Haswa wanachuo mnakwenda kwisha kwa ujinga wenu.
kaa ndani tuliza kinyeo hicho,,,,wanaume tutakuwa barabarani kukomboa taifa dhidi ya serikali haramu ya samuya
 
Not so fast. Vikwazo vya kiuchumi havijawahi kuwa adhabu madhubuti kwa mafisadi wenye access ya kila kitu kwenye nchi zao. Adhabu pekee ya maana kwa fisadi ni kumuondolea uwezo wa kuendelea kuiba na kumnyang'anya alichoiba.
 
Naweza kukubaliana na hoja hii.Kwani ukisikiliza kwa umakini matamko ya wasaidizi wake,unagundua kuwa kuna kuanza kujitenga naye.
 
Sijawahi kumuona shetani ila sikuhizi nikimuangalia huyu samia muuaji nafsi inaniambia huyu ndio shetani ibilisi.
 
D9 jwtz mtulize mikind*u yenu majumbani wanaume tuwanoneshe namna ya kukomboa nchi
Nyie si mmeshindwa, kazi kutii tii amri zingine za ******* manina zenu.

Mmeona wenzenu wwnavuolinda nchi yao dhidi ya wanasiasa wasio na nia njema na nchi yao??

Matako yenu jwtz
 
Hii ndio itakua suluhisho , mafisadi wameficha pesa na mali ughaibuni huku wakijinasibu wanaoharibu nchi wako ughaibuni.

Kwa hatua hii ikichukuliwa pia na walio na mali USA wazifreeze itakua sawa.

Alichofanyiwa Roman Abramovich naamini hata hawa mafisadi waliofadhili genge haramu la watekaji nao watapata maumivu kama waliyowasababishia wenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…