PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Maandamano ni endelevu mpaka Samia atoke na kundi lake lote. Yasiwe ya asubuhi hadi jioni inetoka. Tukeshe pale Ikulu kwa nyimbo za ukombozi. Mwenye uwezo wa viredio tupige makombolela mpaka basi, wa maji ya kunywa walete tukate kiu nk.

Hatutakuwa na silaha isipokuwa mabango ili tuwakoseshe sababu za nguvu kututawanya.
Wakisema tawanyikeni sisi ndo tukusanyike hakuna kusogea hata inchi moja.
Samuya amelainika kabisa na utawala wake umefirisika.
 
Batuli katuli habil kabil. Mayii wee. Nye mambo ni fire. Watu wahaha na mhaho. Hehee. Walahi sijui yawaje hii. Zabaki Siku 8 twaja tena mutuue. Mwafikiri mlitutisha. Twarudi mumalize shughuli yenyu. Nye immortal hehehe! Majembe hao. Wazee wa kuua watu wasio na silaha hao. Nye nye nye. Twataka miili yetu. Nye hamfi . Mayii. Na bado habil kabil batuli katuli
 
Serikali inapaswa kuachia madaraka iliyonyakua kinyume cha sheria lasi hivyo tutaiondoa kwa nguvu na aibu.
 
We kama nani lakini!!?

Polisi,mjedaw,mwananchi au nani!!?
Maaana mo29 walikufa ndugu zetu na serikali IPO madarakani!
 
Mshapanga wa kuchukua baada ya kuondoa ? Au baada ya hapo ndio mtaanza kutafuta ? Na inamuachia nani tuseme kesho
 
Amani iwe nanyi watu wote

Watalii tunawaomba mtupishe kidogo, tumalizane kwanza na huyu muuwaji kigagula

Maandamano yatakuwa ni makubwa zaidi

Africa nzima tunaenda kuwaonesha ni jinsi gan ya kuandamana

Tukutane barabarani

D8-9

SAYUNI BOY
 
Amani iwe nanyi watu wote

Watalii tunawaomba mtupishe kidogo, tumalizane kwanza na huyu muuwaji kigagula

Maandamano yatakuwa ni makubwa zaidi

Africa nzima tunaenda kuwaonesha ni jinsi gan ya kuandamana

Tukutane barabarani

D8-9

SAYUNI BOY
ahaaaaaaaa shaba za kichwa zinakusubiri
 
Amani iwe nanyi watu wote

Watalii tunawaomba mtupishe kidogo, tumalizane kwanza na huyu muuwaji kigagula

Maandamano yatakuwa ni makubwa zaidi

Africa nzima tunaenda kuwaonesha ni jinsi gan ya kuandamana

Tukutane barabarani

D8-9

SAYUNI BOY
Uzuri MAONYO mliisha pata ya kutosha hiyo siku hakuta kuwa na maombi tena wala onyo.
Hii safari inatkuwa fundisho kwenu mpaka kwa mabwana zenu kuwa TANZANIA sio sehemu ya majaribio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…