PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Amani iwe nanyi watu wote

Watalii tunawaomba mtupishe kidogo, tumalizane kwanza na huyu muuwaji kigagula

Maandamano yatakuwa ni makubwa zaidi

Africa nzima tunaenda kuwaonesha ni jinsi gan ya kuandamana

Tukutane barabarani

D8-9

SAYUNI BOY
tukutane road 9/12
 
Tatizo ninyi hamtokei mnahamasisha tu. Mtoke tugawane risasi tutakazorushiwa ili kila mmoja apate.
 
Uzuri MAONYO mliisha pata ya kutosha hiyo siku hakuta kuwa na maombi tena wala onyo.
Hii safari inatkuwa fundisho kwenu mpaka kwa mabwana zenu kuwa TANZANIA sio sehemu ya majaribio.
Wewe kama ulegee Kwa wahuni wanaofanya matendo ya sodoma endelee mwili ni wako
 
Wewe kama ulegee Kwa wahuni wanaofanya matendo ya sodoma endelee mwili ni wako
Nyie watoto wa MAKAHABA mnajiona hamna cha kupoteza kwa sababu ya kukuzwa mazingira mabovu.
Lakini achana na huu ushujaa wa ku type hapa uje hiyo siku, ndo utajua mama yako alitumia tundu gani kupata mimba yako.
 
Reactions: Tui
Kama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
Na huu mtego serikali wakiingia kichwa kichwa ndio wanarahisisha hukumu ya Samuya aisisii
 
Kuna Mkuu WA mkoa WA Mbeya katoa kauli kwamba hakuna maandamano, itakuwa , kavunja Katiba na kujipa Mamlaka asiyokuwa nayo. Inaonyesha ana D ya Kiswahili na zingine ni from four fit for five
 
#D9 tutachukua ikulu na bunge kwa gharama yoyote na hakuna wa kubabaisha samia ameharibu nchi yetu.

Huyu mama kurithi madaraka tulipigwa sana hakuna kitu ambacho hakina mwisho na mwisho wenyewe ni keshokutwa.

Tutachukua nchi yetu kwa gharama yoyote aendelee kujificha kwenye mahema asifikiri mziki ni mdogo

#D9
 
Acheni hizi mambo wakuu!

Tuache check and balance ifanye kazi,2030 sio mbali mazee!

Madhara ya hiyo movement ni makubwa sana comrades!!
 
Hatuwezi kuheshimu amani ya mauji na utekaji lazima tuwaondoe wahuni kwenye mipaka ya nchi yetu D9.
 
Acheni hizi mambo wakuu!

Tuache check and balance ifanye kazi,2030 sio mbali mazee!

Madhara ya hiyo movement ni makubwa sana comrades!!
Haya mambo yanapaswa kudhibitiwa tena haraka sana yanapo achwa Yanaota mizizi Yana zidi kuwa na influence Kwa watu wengine na wao Wana rithi mbegu iliyopo Sasa ya kukosa uadilifu kukosa utu na kutamani kutawala pasipo kufuata kanuni za kisheria ,

Do you think haya mambo yameanza hivi Sasa !? Haya mambo yameanza muda mrefu sana watu wame yapigia sana makelele huko nyuma wakawa Wana tahadhirisha hatua zichukuliwe mapema kurekebisha jahazi kabla halija Anza kuzama lakini watu wakawa Hawa sikilizwi matokeo yake ndio haya Sasa

Tupo katika katika ya kina kirefu Cha bahari now , kwenda mbele huwezi kurudi nyuma huwezi

Kama Taifa watu wamefikia hatua ya kusema liwalo na liwe , ni hatua mbaya sana tena sana lakini Tunalipi la kufanya ikiwa waliokuwa Wana shauriwa hawakuwa wanataka kuelewa Wala kusikia Wana jiona miungu watu !!!
 
Uamuzi wa kumuondoa na kumuweka rais madarakani ni wa wananchi hivyo wananchi wanayohaki ya kumuondoa mtu aliyejipachika madarakani kinyume cha sheria.

Maandamano ya kumuondoa fisadi madarakani kwa nguvu ya umma ni halali.

Kama wananchi hawajakuweka utamuongoza nani ?
 
Hakuna bunduki, bomu, au vitisho na vichambo au mtu yoyote atakayeweza kuzuia maandamano ya kudai haki #D9 tutafanya maandamano makubwa sana hatoamini
 
Zisiwepo kelele za ohh waandamaji/vibaka wamepigwa risasi.Huwezi kufanya jambo linalohatarisha usalama wa Nchi ukaachwa tu.Njooni na majeneza ili kazi iwe rahisi.
 
Hakuna ataetoka.
Dalili zote zinaonyesha kwamba hamna kitu
Mkwala wa jana umetuliza kila kitu.
Wazungu wamesema
One cannot rise above the hand that shapes them
 
Hakuna ataetoka.
Dalili zote zinaonyesha kwamba hamna kitu
Mkwala wa jana umetuliza kila kitu
Hili litakuwa jambo jema kwako na serikali ya Samia.
Good for you then .

Hongereeni sana mmeshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…