PostGE2025 Gen Z watoa taarifa kuelekea maandamano makubwa Desemba 25 (D25) hadi mwaka mpya wa 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Status
Not open for further replies.
Usihangaike na huyu mpumbavu Foffana ni form six failure halafu hata hajihurumii na maisha magumu anayopitia chini ya ccm. Achana naye dada angu
Ndugu yangu tusifike huko πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Yaani NIACHE kusherehekea sikukuu nikajiingize kwenye upuuzi unaoitwa kuandamana ili WAHUNI wachache kama mangi kimambi na maria sarungi walipwe mabilioni?Siwezi kufanya ujinga huo
Tangu lini CCM na MACHAWA wakaandamana?
 
Hii mikwara iishie humu humu JF mkitoka huko barabarani mtapasuliwa vichwa vyenu halafu mama zenu wataanza kutia huruma mbele ya kamera za simu za watu.
Kahaba Manyonyo kakutuma useme hayo wewe kilamba mavi wake ?
 
Hii imekaa vizuri sana
 
Sawa this time msieke "rockdown"mbwa ww kuandika hujui umasikini hdi kwenye mbupu zako uko hapa kumtetea Samuya.useless human being..wasted sperm
 
Sugu moto chini eeh
Sugu moto chini aah
Sugu moto chiniiiii aah aah 😹😹😹

Wafanye na mwaka mpya wote warudi bush wakasaidie wazazi kulima 😹😹😹
 
Yaani NIACHE kusherehekea sikukuu nikajiingize kwenye upuuzi unaoitwa kuandamana ili WAHUNI wachache kama mangi kimambi na maria sarungi walipwe mabilioni?Siwezi kufanya ujinga huo
Utasherekeaje nje kuna policcm wametanda? Labda ukae ndani kama mjusi hata pua isionekane mtaani
 
The boy who cried wolf. They had me in the first half but just like in D9, they won't do shit.
 
Hata wasipoweka rockdown hakuna atakaeadamana.
Kwa mtizamo wangu, swala la maandamano tumeshafeli, tusuke mipango mikakati mingine.
 
Naunga mkono kwa Asilimia 2000 waanze 24th waende mfululizo hadi 2nd. 26
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…