General Mabeyo akapige Sala ya Novena kutuomba msamaha Watanzania

Hussein Mwinyi for presidency 2025🥺🥺🥺🥺🥺
Yaani sitamani kabisa ukichomfanyia Membe (Rip); kwa kumdanganya na kampeni za ni "Yeye" kisha akaishia kwenye kampeni zi sizoeleweka za 2020.

Sasa kwa kauli hii, sitarajii iwe " fishy project".
 
Mkuu unaona kabisa sawa kwa mtazamo wako kuwa Lisu alistahili kifo??

Haya tuambie tulifaidi nini watanzania kutokana na mkataba ule wa uliowadhania kuwa na uweledi wa mkataba??

Makinikia hayakutoka?? Trilioni mia 400 tulilipwa?? Barick hawachimbi madini??? Kuna kesi yoyote ya madini tumeshinda??? Kuna kesi ya yoyote kuvunja mkataba kipindi cha awamu ya 5 tumeshinda??

Mkuu sisi ni wa swahili acha Kiingereza kiingi humu na visingizio vya usalama, jibu maswali hayo. Utekaji na mauaji ya mtanzania yeyote haukubaliki kwa sababu yoyote ile!

Mzee Kibao hakustahili kufa vile!!

Mkuu inaelekea unafahamu kinacho endelea maana juzi ulikuwa unawatuhumu sana viongozi wa Chadema kuhusika na mauaji hayo!!!

Kama kweli unaamini hivyo kwa nini siku zote viongozi wa Chadema tena upinzani hawajawahi kukamatwa, kushtakiwa na kufungwa kwa tuhuma hizo!!!

Ama kweli wahenga hawakukosea kusema ushushi hutoka kwenye inya!
 
Ni mjinga mmoja naye amepata dhamana ya kukaa ofisi ya umma anadhani wote ni wapumbavu vile .

Shibe mwanamalevya
 
Busara ingekuwa kusema unadhani nani anafaa na kwanini choice yangu sio sahihi.

Kuanza na mimi mleta mada whilst I am just airing my opinion, shows your focus was personal attack; rather the topic.
Well, your "opinion" isn't any different from a historically known person presenting it, or is it! Therefore you cannot detach yourself from a well known character.
 
Mbona kama rip unapongeza nini?
 
Baadhi ya watanzania ni watu wajinga na wasiojielewa kabisa. Wanalilia Katiba mpya na utawala wa sheria ila sheria zikifuatwa wao wanataka zivunjwe.

Sasa mtu kama huyu ana tofauti gani na kiongozi aliye madarakani anayekanyaga sheria?

Hapa ndio unagundua kula wengi sio waumini wa utawala wa sheria, bali wanapenda sheria zipindishwe kwa maslahi yao.
 
Mwinyi ni mtanganyika kwao

Ukumbuke mwinyi kwao mkuranga , ni mtanganyika yule
Huyo ni mzaliwa wa Zanzibar, na anajitambulisha yeye mwenyewe kuwa ni mZanzibar na maisha yake yote na tamaduni yake ni mZanzibar. Huo uTanganyika wa baba yake ni wa kimaslahi tu basi. Hana uchungu wowote juu ya Tanganyika.
 
Atuombe radh watanzania
Huyu mabeho anatakiwa kufungwa kifungo Cha maisha jela Kwa kasababisha Nchi yetu kuongozwa na mwenye uwezo mdogo na Sasa Kila siku watu wanatekwa na mambo mengine mengi ya kijingakijinga yanafanyika
Frankly speaking from the bottom of my heart, huyo Mabeyo mnamuonea bure tu. Mkuu wa Majeshi kazi yake Siyo kutunga Katiba ya nchi, bali kazi yake ni Kulinda Katiba ya nchi. Hili ndilo jukumu lake la msingi kabisa.

Mabeyo alichofanya ni Kutetea na Kuilinda Katiba ya nchi, alikuwa yupo sahihi kabisa kwenye suala hili.
Watanzania mnapaswa kujilaumu nyinyi wenyewe kwa uzembe wenu wa kutokudai na kutokupigania Upatikanaji wa Katiba Mpya muitakayo, ambayo mnaamini kwamba itawaleteeni Viongozi mnaowataka wenye elimu au akili kubwa Kama yalivyo matamanio yenu.

Tafadhali, Gharama za ujinga wenu msimbebeshe Mabeyo, Pambaneni na hali zenu. Mabeyo hakutunga Katiba hii iliyopo, Wala msimlaumu.
 
Inashangaza sana
 


..mauaji yanayofanywa na Ccm yako consistent hayategemei personality ya Raisi.

..Dr.Shein pamoja na kuonekana muungwana lakini alipindua ushindi wa Maalim Seif, na kumwaga damu za Wazanzibari.
 
Al
Atuombe radh watanzania
ikuwa anailinda Katiba ya Nchi na ndivyo alivyopaswa kufanya kama Mkuu wa Majeshi !

Vinginevyo sisi tuliosomea Cuba tungemshangaa kama angekubaliana na Vilaza waliotaka kupindua meza !!

Kama lawama basi zipelekeni kwenye Katiba ya Nchi na wale walioitengeneza !!
Inapokuja suala la Tume Huru ya Uchaguzi hamuilalamikii Katiba kwamba ni mbaya ila linapokuja suala la kurithishana madaraka kama ilivyotokea ndio kunakuwa na maneno mengi eti Mabeyo amewakosea 😳

Tuache Double Standards zetu !
Mabeyo alifanya kile alichopaswa kukifanya wakati ule wa dharura !
HONGERA SANA GENERALI MSTAAFU MABEYO 🙏🙏🙏🙌 GOD BLESS YOU 🙏🙏🙏
 
Katiba ni mipango na fedha bobu in case ni true badala ya false
 
Yani hata ukweli kwamba Mabeyo alihitajika kuamua ni tatizo.

Kwa sababu katiba iko wazi, akifariki rais mtu wa kuchukua urais ni Makamu wa Rais.

Sasa unamuullza Mabeyo nini jambo ambalo katiba imeliweka wazi?

Inawezekana Samia ana natatizo kama rais, lakini mchakato wa alivyoupata urais ni wa kikatiba, hauna tatizo.

Sasa mlitaka nini? Mlitaka nchi iongozwe kijeshi?
 
Nimeufatilia huu uzi ni wewe pekee umekula like za kutosha, hii inamaanisha kuna ukweli kwa asilimia nyingi sana kwa maaana ya daraja "A" kwenye maelezo yako, big up sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…