Utasikia chama chajenga nchi wakati wao ndio waliacha mambo mazuri ya awamu ya kwanza yateketee.Kati ya mwaka 1997 - 2005 General Tyre ilikuwa ikilipa VAT Tsh 375,000,000/= hadi 500,000,000/= kwa mwezi.Nikija kwenye kodi zingine ndio utashangaa hawa viongozi wanaolilia madaraka hadi kufikiwa kuwanunua wachungaji na masheikh huku wakiwahawezi kutawala hata kuku ndio nashindwa kuelewa Tanzania tuna laana ya nani.
Na sasa NSSF upatikanaji wa mafao unawekewa masharti mengi sana ili kufidia ulaji kama huu"NSSF ikatoa mkopo wa dola 10 milion Serikali ikiwa mdhamini wa mkopo huo. Badala ya kununua mitambo mipya mitambo ya zamani ikapakwa rangi na fedha zote zikatokomea. Utashangaa leo unaambiwa deni la Taifa linazidi kuongezeka ukichunguza utakuta linaongezeka kwa mambo kama haya". Wakati mwingine matatizo ya africa yanachangiwa na waafrika wenyewe na si kweli kama tulivyoaminishwa kwenye somo la historia kwamba wakoloni ndio walitifanya maskini,Mkoloni mweusi ni mbaya kuliko mkoloni mweupe.
Ndio hapo sasaMbona waliohusika hawafikishwi mahakama ya mafisadi?
Inashangaza sanaVitu kama hivi wala havifatiliwi kama hawajui Ivi
Mushakutana october ngapi??Tutakutana October, lazima kieleweke!!!!