Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
George Galloway anasema askari 173 kutoka katika kikosi hatari cha Delta force wametekwa na Jeshi la Iran.
Afu wakichapwa wanasema wamekufa 6 tu hahaha kweli ni vichaa tu watamini wanacho ongea USA na shoga lake taifa liliundwa na mui gereza likaitwa IsraelIrani wao wanavizia tu, wenzao wanakuja laivu ni mwendo wa minakoz tu
Kuna haya mambo matatu:Umeona uje udanganye huku? Ilete na kule kwenye uzi mkuu.
Ruksa kujifaraji katika maumivu makali unayopitia ya kufiwaGeorge Galloway anasema askari 173 kutoka katika kikosi hatari cha Delta force wametekwa na Jeshi la Iran.
View attachment 3555537
Mlevi mmoja hapa baa anasema tokea Leo asubuhi.Delta Force watekwe kwa idadi? Tokea lini special force ikafanya operation ikiwa na watu zaidi ya 30? Kumpata special force siyo kazi rahisi sana.
acha chuki na taifa la israelAfu wakichapwa wanasema wamekufa 6 tu hahaha kweli ni vichaa tu watamini wanacho ongea USA na shoga lake taifa liliundwa na mui gereza likaitwa Israel
Uwongo wa hivi sijui unawazaidia nini!!Delta Force watekwe kwa idadi? Tokea lini special force ikafanya operation ikiwa na watu zaidi ya 30? Kumpata special force siyo kazi rahisi sana.
Labda wamewafuata Marekani. Wamesahau kusema kuwa wamemteka na Trump!!Delta Force waliingia Iran kwa ajili ya mission ipi hiyo?
Wakiristo wa jf hamuwapendi IranIrani wao wanavizia tu, wenzao wanakuja laivu ni mwendo wa minakoz tu
Unikome wewe,me ndo natoka tarawekhe saiz,shubaamitWakiristo wa jf hamuwapendi Iran
Kuchukua 400+kg za uranium iliyorutubishwaDelta Force waliingia Iran kwa ajili ya mission ipi hiyo?