George Galloway: Askari 173 wa Marekani kutoka katika kikosi cha Delta force wametekwa na Iran

George Galloway: Askari 173 wa Marekani kutoka katika kikosi cha Delta force wametekwa na Iran

Delta Force waliingia Iran kwa ajili ya mission ipi hiyo?
Sina ushahidi kwamba watu 173 wametekwa Ila kuna Askari wa USA wametekwa Iraq, kuna Base zimezungukwa na kuna machief wa vijijini wa makabila wanawekwa dau Hadi dola milioni kwa kila MTU atakayekamata Askari wa USA, then wanawapeleka Iran. Jeshi la Iran pia limekiri kuna makabidhiano japo hawajataja Idadi.
 
There is no evidence that 173 US Delta Force troops have been captured by Iran, and a SynthID check confirms that the images in this post are AI-generated, both created with Google AI.
Delta force hawafanyi kwa kundi kubwa namna hiyo. Askari 173 ni zaidi ya kombania (company) moja.
 
IMG_20260310_055526.jpg
IMG_20260310_055553.jpg
IMG_20260310_055624.jpg
 
USA inaongoza kwa media spinning, denial, propaganda, fake news...
Tupac Shakur....they got money for wars, but nothing for their people...
A white Caucasian male is the most violent, savage, brutal, barbarian, tyrant human being in this world...
 
Kuchukua 400+kg za uranium iliyorutubishwa

Delta Force ni special forces (from diffent branches za US military) wanaotumika kwa ajili ya special mission tu na wanaoperate ardhini...

US huko Tehran kapeleka ndege za vita pekee na wale waliodunguliwa ni wanajeshi wa Air force...
 
Yani source ya hii habari ni Suzy kutoka ticktock,mleta mada anatuona sisi ni kama wake zake aisee.!
 
Back
Top Bottom