George Galloway: Askari 173 wa Marekani kutoka katika kikosi cha Delta force wametekwa na Iran

George Galloway: Askari 173 wa Marekani kutoka katika kikosi cha Delta force wametekwa na Iran

Letanyahu kwani mkiristo mwenzenu?
Unadhani mimi ni zoba kwenye hizo imani hewa za kuletwa kutoka Mashariki ya Kati? Ufala huo ubaki kwa kila anayeamini.
Nyau-Nyau huyo ni Jew ila ile kuwa Jerusalem, Bethlehem na Nazareth kuwa ukanda huo hiyo imewafanya Wagalatia wote kum-support.
Ila linapokuja suala la kujitambua bora mara mia Wagalatia kuliko Kobazi, yaani Kobazi wako so brainwashed to the extent where it's unthinkable for them to challenge whatever doesn't make sense in their scriptures.
 
Ila watu wengi humu hua wanajibu bila kufanya tathmin,mleta mada kaweka na video ya mwandishi,Sasa wao wanambishia mleta mada.
George Galloway ni mwandishi mkongwe wa Geopolitics,hivyo kabla ya kutangaza hua anachunguza kupitia vyanzio vya uhakika,halafu Yuko Marekani huko.
Huyu hua anawa interview akina Scot Ritter na Col Douglas Mc Gregory
 
Back
Top Bottom