Ila watu wengi humu hua wanajibu bila kufanya tathmin,mleta mada kaweka na video ya mwandishi,Sasa wao wanambishia mleta mada.
George Galloway ni mwandishi mkongwe wa Geopolitics,hivyo kabla ya kutangaza hua anachunguza kupitia vyanzio vya uhakika,halafu Yuko Marekani huko.
Huyu hua anawa interview akina Scot Ritter na Col Douglas Mc Gregory