George Simbachawene ni nani hasa?

Kutosomesha mtoto nje ndiyo uzalendo? Nyie watu!
 
Tanzania kila mtu kachero. Huyu alikuwa konda wa mabasi
Kuwa konda wa mabasi hakuzuii yeye kuwa bora katika kitu kingine, huwezi jua labda kuna mtu aliona kipaji chake akawa anamshauri au kusimamia mpaka alovyofika sasa au hata huo ukonda alikuwa kazini. Ameaminika wizara nyeti ikiwemo wizara ya hao makachero. Mimi sijui kama ni kweli ila inawezekana
 
Acheni kujadili majambazi waliioliibia Taifa letu hakuna mwana-siasa smart kichwani hapa Tz siasa ni wizi tu


Watu smart hawapo katika siasa chafu za Ccm sijui CHADEMA and so blanda
 
Ahsante Mkubwa, ila umewaita wajukuu je wewe nini mkubwa kiasi hiko au ni kinyume chake wewe ni mjukuu wa mmoja kati ya hao.

Kwa wizara alizopitia, na kudumu kwake naona uPM unaweza kumfaa sijajua masuala mengine ambayo hatuyajui
Hawa ninaowaita wajukuu ni watani wetu wa jadi kikabila; kwangu mimi mtani wa jadi ni mjukuu. Ninao wajukuu wengine wengi tu akiwemo JK, Rais mstaafu wa awamu ya nne. Utani wa jadi unatambulika kisheria kiasi kwamba ikitokea mkazua mgogoro kupitia utani huo, sheria zinatambua na hivyo zitaingilia kati kuutatua

Nitafurahi sana siku ikitokea imempendeza Mungu Simbachawene awe kwenye cheo hicho, na ubarikiwe sana kwa kuendelea kumuombea katika hilo. Mimi pia ninamuona ni Kiongozi ambaye ana-qualify sana kwenye nafasi hiyo
 
Ahsante nimeelewa ndugu, japo naona ana nafasi lakini sijamuombea nisiwe mnafki najaribu tu kuangalia uhalisia
 
Acheni kujadili majambazi waliioliibia Taifa letu hakuna mwana-siasa smart kichwani hapa Tz siasa ni wizi tu


Watu smart hawapo katika siasa chafu za Ccm sijui CHADEMA and so blanda
Unaweza kutudadavulia ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…