George Simbachawene ni nani hasa?

George Simbachawene ni nani hasa?

Ujinga wa mtanzania akija kwenye graduation yako, anataka ukipata kazi umpe mshahara wako mgawane, kwani aliwaita wamsaidie tokeni zenu huko, kampeni ziliisha sasa fanyeni kazi zenu sio majungu majungu
Acha upumbavu uliwahi kuoma mtu anaepiga kampeni Bure?
Umeshakula kwanza? Usije kuwa unaleta stress zako za kulala njaa hapa
 
Kwao ni Mpwapwa Kijiji kinaitwa Pwaga Hana lolote. Watu liomsaidia kwenye kampeni wengi aliwapotezea.

Kama kuna mwenyeji was bwaga hapa atajazia
Huyu kwao sawa ni Pwaga na Galigali pia ujombani namjua vyema akiwa kule Mbuga, Winza, Kinusi,Matonya,Ihwa,Maandazi,Ipera,Mang'alisa, Choghola, Kikuyu na Ihefu watu wa milimani mmenisoma huyu analingia uchawi wa baba yake.
 
Back
Top Bottom