Dogo acha hizo, hiyo ni execution sio lazima shingo inyongweKunyongwa ni aina ya kifo inayohusisha either kuminywa/ kukabwa/ kuvunjwa sehemu za shingo. ' Electrocution' haihusishi shingo, hivyo hakunyongwa, bali ametekelezewa adhabu ya kifo kwa kiti cha umeme.
Ofcourse, execution sio lazima shingo inyongwe, ila wewe ndio umetaka kuinsunuate kwamba electrocution (execution by electricity) ni kunyongwa, kitu ambacho nimepinga. Otherwise, hata execution by 'Lethal injection' (sindano ya sumu) pia ungesema ni kunyongwa.Dogo acha hizo, hiyo ni execution sio lazima shingo inyongwe
Yes, nayo ni kunyongwa tu. Hukumu huwa ni kuuwawa, sasa kulingana na mazoea toka zama na zama ambapo ilikuwa lazima utiwe kitanzi, basi njia yeyote itakayotumiwa kukunyofoa roho yako, tunai- generalize ni kunyongwa tuOfcourse, execution sio lazima shingo inyongwe, ila wewe ndio umetaka kuinsunuate kwamba electrocution (execution by electricity) ni kunyongwa, kitu ambacho nimepinga. Otherwise, hata execution by 'Lethal injection' (sindano ya sumu) pia ungesema ni kunyongwa.
Wabunge wakihama au kubaki huko waliko taarifa zao zikija hapa huwa unalia?hadithi ya afrola ulela cjaelewa imekuja hapa kufanyaje au tulieeee
Aiseehadithi ya afrola ulela cjaelewa imekuja hapa kufanyaje au tulieeee
ooohhpsss so sad indeed ".. daaahhMnamo mwaka 2014 Mahakama ya South Carolina nchini Marekani ilitengua hukumu ya iliyotolewa na mahakama hiyo ya kumnyonga hadi kufa mtoto George Stinney Jr, ikiwa miaka 70 imeshapita tangu anyongwe.
George aliyehukumiwa kunyongwa mwaka 1944 kwa kuwaua watoto wenzake wawili wa kizungu. Kesi ya George iliendeshwa kwa ubaguzi wa hali ya juu, ambapo hakukuwa na mtu mweusi hata mmoja aliyeruhusiwa kuingia mahakamani zaidi ya askari aliyemkamata George.
Hata hivyo hakukuwa na ushahidi wa moja kwa moja wa kumtia hatiani mtoto huyo, ambaye alihukumiwa kunyongwa kwenye kesi iliyoendeshwa na watu weupe tu. Wazazi wa George hawakuruhusiwa kuingia mahakamani hapo, hata kwenye nyumba waliyokuwa wakiishi walilazimika kuhama.
George alitiwa hatiani baada ya kuwa ndiye mtu wa mwisho kuonekana akiwa na watoto wawili wa kike wa kizungu, ambao waliuawa kwenye mazingira ya kutatanisha na miili yao kutupwa kwenye dimbwi.
Miaka hiyo kulikuwa na ubaguzi mkubwa wa rangi ambapo watu weusi walikuwa hawasikilizwi wala kupewa haki zao, na walitengwa. Siku ya kunyongwa George aliuawa kwa kuwekwa kwenye kiti cha umeme, na kumfanya kuwa mtu mwenye umri mdogo zaidi kuhukumiwa hivyo nchini Marekani.
Binafsi:
Imenisikitisha sana alikufa kifo cha kikatili sana apumzike kwa amani mtoto george jr.View attachment 893391