Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu wanabaguana hata wao kwa wao, wana roho mbaya sana hawa viumbe ngozi nyeupe(mfano wataliano wanajisikia raha sana wanapoona damu inamwagika), tizama movie ya The gladiators-spatacus blood on sand. Hopeless kabisa hawa watu hawa
I saw a documentary based on his execution...I was saddened!!!weupe si watu
Ahsante mkuuPole sana mkuu...! Jikaze tuu ndo uone bado tunakumbatia wazungu .....
Ile ngozi ya kitimoto ile basi tu, kama kuna race inapaswa kufutika katika sura ya dunia basi ni hawa waduduwazungu wanaona watu weusi kama wadudu tu kwao, hawajali wala kuheshimu utu wetu, unashangaa mtu anawakumbatia hao hadi unajiuliza, shame!
Kwahiyo electrocuted sio kunyongwa eti?Huyo hakunyongwa, bali alikuwa ' electrocuted'; a very painful ordeal indeed to put a child through, cha msingi hapa duniani kila mtu apambane kuwa imara kiuchumi, manyanyaso kama haya hayawezi kukuta.
Kunyongwa ni aina ya kifo inayohusisha either kuminywa/ kukabwa/ kuvunjwa sehemu za shingo. ' Electrocution' haihusishi shingo, hivyo hakunyongwa, bali ametekelezewa adhabu ya kifo kwa kiti cha umeme.Kwahiyo electrocuted sio kunyongwa eti?