George Stinney, mtoto wa kwanza kuwahi kuhukumiwa kifo na kunyongwa nchini Marekani

George Stinney, mtoto wa kwanza kuwahi kuhukumiwa kifo na kunyongwa nchini Marekani

Wazungu wanabaguana hata wao kwa wao, wana roho mbaya sana hawa viumbe ngozi nyeupe(mfano wataliano wanajisikia raha sana wanapoona damu inamwagika), tizama movie ya The gladiators-spatacus blood on sand. Hopeless kabisa hawa watu hawa
 
Wazungu wanabaguana hata wao kwa wao, wana roho mbaya sana hawa viumbe ngozi nyeupe(mfano wataliano wanajisikia raha sana wanapoona damu inamwagika), tizama movie ya The gladiators-spatacus blood on sand. Hopeless kabisa hawa watu hawa
1452232027622.jpg
wasome hapo uone ubaguzi uliopitiza
 
Ila naomba niseme ukweli nilichogundua kutoka kwa hawa jamaa wanapokuja Tanzania wengi huwa wanaambiwa labda na waliowahi kuishi nchini au waliowakuta kwamba Hii ni "Tanzania usifikiri ndio wale mliowasoma kwenye historia ya utumwa Hawa ni tofauti kabisa na wanaelewa, tatizo linakuja kwa Hawa wenzetu wanaokuwa nao karibu ndio wanaowavimbisha kichwa na kutudharau ndio maana unakuta kupigwa au kuuawa kwa wa Tz wanaofanyakazi ktk makampuni yao ni wachache ukilinganisha na nchi zingine za Afrika
 
Last edited:
wazungu wanaona watu weusi kama wadudu tu kwao, hawajali wala kuheshimu utu wetu, unashangaa mtu anawakumbatia hao hadi unajiuliza, shame!
 
wazungu wanaona watu weusi kama wadudu tu kwao, hawajali wala kuheshimu utu wetu, unashangaa mtu anawakumbatia hao hadi unajiuliza, shame!
Ile ngozi ya kitimoto ile basi tu, kama kuna race inapaswa kufutika katika sura ya dunia basi ni hawa wadudu
 
Inasikitisha, kwa sura yake ya kiupole waliosingizia na uzao wao lazima wanakiona cha moto. Sasa atapumzika kwa amani.
 
George Stinney ndiye mtoto wa kwanza kuwahi kuhukumiwa kifo na kunyongwa nchini Marekani. George ambaye alikuwa akitokea kwenye jamii ya watu weusi ambayo ilikuwa ikibaguliwa sana katika eneo la Alcolu huko South Carolina, alituhumiwa kuwaua watoto wawili wa kike wa kizungu na miili yao kuitupa kwenye dimbwi karibu na eneo ambalo alikuwa akiishi. Lakini hakukuwa na ushahidi wa moja kwa moja uliothibitisha kosa hilo, zaidi ya maelezo yaliyoandikwa na polisi aliyemkamata, ambayo pia hayakusainiwa na George.

Wakati wa kesi yake George alikuwa akihojiwa bila wazazi wake wala mwanasheria, na wazazi wake hawakuruhusiwa kabisa kumuona, kesi ya George iliandamwa na vitendo vya ubaguzi wa rangi kwani hata mahakamani hakuna mtu mweusi aliyeruhusiwa kuhudhuria zaidi ya polisi watatu ambao waliokota miili ya hao watoto.

Waendesha mashtaka walisema watoto hao walipigwa na kufanyiwa vitendo vya ubakaji lakini ripoti ya daktari haikuonyesha hivyo zaidi ya kueleza walipigwa na kitu chenye ncha kali, na hakukuwa na dalili zozote za kubakwa. Baada ya George kukamatwa baba yake alifukuzwa kazi katika kampuni ya wazungu aliyokuwa akifanya na kuhama katika nyumba aliyokuwa akiishi. George alinyongwa kwa kutumia akiti cha umeme mwaka 1944.
e907c30f93d7a9d5b97aa51cff97fda7.jpg
 
Huyo hakunyongwa, bali alikuwa ' electrocuted'; a very painful ordeal indeed to put a child through, cha msingi hapa duniani kila mtu apambane kuwa imara kiuchumi, manyanyaso kama haya hayawezi kukuta. And unfortunately, this kid has 'that look' which might be mistaken for a thug (Panya road)
 
Hii ilishaletwa humu jamvini kitambo, Ila dogo alionewa to the maximum, kosa lake lilikuwa kuonyesha wenzake walipokuwa wakicheza basi
 
Huyo hakunyongwa, bali alikuwa ' electrocuted'; a very painful ordeal indeed to put a child through, cha msingi hapa duniani kila mtu apambane kuwa imara kiuchumi, manyanyaso kama haya hayawezi kukuta.
Kwahiyo electrocuted sio kunyongwa eti?
 
Kwahiyo electrocuted sio kunyongwa eti?
Kunyongwa ni aina ya kifo inayohusisha either kuminywa/ kukabwa/ kuvunjwa sehemu za shingo. ' Electrocution' haihusishi shingo, hivyo hakunyongwa, bali ametekelezewa adhabu ya kifo kwa kiti cha umeme.
 
Hapa dunian mzeee unaweza pigwa risasi alafu ukatangazwa jambazi ,,kumbe ulikua unafatilia haki yako.
 
Back
Top Bottom