chibuga mugeta
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 1,176
- 1,054
Huna akili japo una degree Cheti hujielewi kiazi km kiazi mbatata! Hata km analipwa anauliza hoja ya msingi Kuna shida gani,hoja ijibiwe Kwa hoja sio taarabu haya ni maisha ya watuGerald Hando...paid journalist...wanarudia zoezi lile lile yeye na Kipanya walivyofanya kazi maalum Kwa Dr Idrisa..haadi akatolewa...wakaingia watu wa Ngeleha zikapigwa bilioni 500...
Tena waathirika wakubwa tulikuwa wakazi wa Dar.Kalemani umeme ulikuwa unakatika kila siku....lakini mmeshaanza kubadili facts ili agenda yenu ifanye kazi
Watu mnapenda sana kujisahaulisha.Mgao ulikuwa mkali mno.Nchi gani hiyo umeme ulikuwa unakatika kila siku Enzi za kalemani?
Who is behind Sam Wellson?Who is behind Gelard hando?
Chapombe mmoja hiviHando hivi ni Nani haswaaa??!
Mfu anayetembea hatakiwi kuogopa KUFA, ikiwa unataka kuishi chukua hatua.Hando utauwawa
Sio kweliNi kweli kabisa kuwa kipindi Kalemani ni waziri huo umeme haukuwa shida? Haukuwahi kukatika?
Tena walikuwa wanakata Zaid sehemu za viwanda n uzalishaji, waliua uchumi. Wanakata umeme viwandani, halafu wakazalisha wamachinga wa mchongo barabarani Kwa jina la wanyonge, nchi ilikuwa hoi bin taaban. MAMA ANA KAZI KUBWA SANA KUIJENGA TENA HII NCHI KIUCHUMI NA KUFIKIA ALIPOIACHA JK. UCHUMI ULICHANGANYWA KAMA CHEMICALS MAABARAKalemani umeme ulikuwa unakatika kila siku....lakini mmeshaanza kubadili facts ili agenda yenu ifanye kazi
Some time watanzania tunauwelewa mdogo sana wa kufikili na kuchambua mambo, mtu katoa maoni yake binafsi kama mwana habari, afu mtu anakuja yupo nani nyuma yake? swali lakijinga sana hili π‘π‘π‘π‘π‘Who is behind Gelard hando?
Zaman nikikua namheshimu Sana,mkuu deep pond achana na uyu chawa kuna maisha nje na kujipendekeza cha kushangaza ameanza muda mrefu lakini kila teuzi zikitoka jamaa jina lake amna[emoji16][emoji16]
We mwache ajitoe ufahamu na minjino yake hiyoGerald Hando ....unatumwa na nani huyo siku atakuja kuwa Mr P ....Usimalize maneno kuna watu wanayaweka hayaaa..
Akili Yako ilikuwa bado topeNilikuwa hapa hapa nilipo sasa hivi.
Huyu ni mgonjwa katoroka mirembe hospitalNchi gani hiyo umeme ulikuwa unakatika kila siku Enzi za kalemani?
Hujasikia wanasema mabomba yameanza kupasuka huko[emoji2][emoji2]Hivi sasa mvua zinanyesha sijui watakuja na uongo gani? Hii nchi ilipofika basi tu, hebu ngoja tuone tunapoelekea.
Mm kweli nilikua against na jiwe ila kuhusu umeme nisiwe mnafiki jamaa alipambanaMkuu hilo si Kweli kwamba "umeme ulikua unakatika kila siku" Ulikuwa unakatika kwa kiwango cha kawaida, Sio kwa Mgao Rasmi kama ilivyo Sasa.
Tangu Hayati Magufuli amekuwa Rais nchi haikuwahi kuingia kwenye Mgao wa Umeme.
Huo ndio Ukweli ambao inabidi tuukiri.