Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

Gerald Hando...paid journalist...wanarudia zoezi lile lile yeye na Kipanya walivyofanya kazi maalum Kwa Dr Idrisa..haadi akatolewa...wakaingia watu wa Ngeleha zikapigwa bilioni 500...
Huna akili japo una degree Cheti hujielewi kiazi km kiazi mbatata! Hata km analipwa anauliza hoja ya msingi Kuna shida gani,hoja ijibiwe Kwa hoja sio taarabu haya ni maisha ya watu
 


Miezi miwili nyuma wakati upatikaji wa maji shida serikali nzima ilikuwa inazunguka kwenye vyanzo vya maji kujionea uharabifu na kupiga mikwara kwa wavamizi.



Kinachoendelea leo washasahau shida zilizoikumba nchi mwezi kwenye maji, halafu sababu za hao wafugaji kuvamia ni ovyo kweli.

Kwanini wasimpeleke Chalamila Morogoro kupambana na hawa wakaidi.

Sidhani kama kuna serikali ya ovyo duniani kama Tanzania ni watu wa matukio tu lakini hakuna nidhamu ya usimamizi kabisa.
 
Kalemani umeme ulikuwa unakatika kila siku....lakini mmeshaanza kubadili facts ili agenda yenu ifanye kazi
Tena walikuwa wanakata Zaid sehemu za viwanda n uzalishaji, waliua uchumi. Wanakata umeme viwandani, halafu wakazalisha wamachinga wa mchongo barabarani Kwa jina la wanyonge, nchi ilikuwa hoi bin taaban. MAMA ANA KAZI KUBWA SANA KUIJENGA TENA HII NCHI KIUCHUMI NA KUFIKIA ALIPOIACHA JK. UCHUMI ULICHANGANYWA KAMA CHEMICALS MAABARA
 
Who is behind Gelard hando?
Some time watanzania tunauwelewa mdogo sana wa kufikili na kuchambua mambo, mtu katoa maoni yake binafsi kama mwana habari, afu mtu anakuja yupo nani nyuma yake? swali lakijinga sana hili 😡😡😡😡😡
 
Ukiacha propaganda,tangu tupate Uhuru umeme haujawahi kuwa stable Tanzania hii.
 
Kazi ya waziri ni kusimamia sera zaidi na siyo kuwasha au kuzima umeme.
Wataalamu na wafanyakazi wa Tanesco kwa ujumla wanahusika na uzalishaji na usambazaji wa umeme.
Kabla ya kufika kwa waziri na kumshambulia binafsi,tuwaulize Tanesco watupe majibu ya kina.
Waziri na serikali huja na kuondoka, lakini Tanesco na wataalamu watabaki kutuhakikishia umeme wa uhakika.
Hizi fikra za kumtegemea na kumsifia au kumlaumu mtu binafsi ndiyo msingi wa tatizo lenyewe.
 
Mkuu hilo si Kweli kwamba "umeme ulikua unakatika kila siku" Ulikuwa unakatika kwa kiwango cha kawaida, Sio kwa Mgao Rasmi kama ilivyo Sasa.

Tangu Hayati Magufuli amekuwa Rais nchi haikuwahi kuingia kwenye Mgao wa Umeme.

Huo ndio Ukweli ambao inabidi tuukiri.
Mm kweli nilikua against na jiwe ila kuhusu umeme nisiwe mnafiki jamaa alipambana
 
Back
Top Bottom