Gerald Hando: Mbowe aachie ngazi, amekaa sana CHADEMA

MALIZA KWANZA MSIBA MKUU Acha upumbavu akiachia ngazi utaiongoza wewe chadema?
 
NCHI INA WAJUNGA NA WAPUMBAVU WENGI KWA SASA MAMBO YA CHADEMA watayamaliza chadema
 
Inasikitisha Sana....

Mtu anashambuliwa kwa kutoa Maoni yake...., Ana haki ya kutoa Maoni na CHADEMA ina haki ya kutupilia mbali maoni yake...,

Majibu ya kwamba inamuhusu nini sio Majibu..., Sababu yeye ni Mtanzania na kwa upeo wake anaona kinachofanyika sio sawa (Hata kama hana Chama kama Watanzania wengi) lakini Kodi yake pia inatumika katika Ruzuku na kuimarisha Demokrasia Nchini (Hivyo ni Mdau hata kama sio Mwanachama wa Chama)
 
Mtasubiri na kuhangaika sana na Chadema lkn kamwe hamtofanikiwa kuwagawa kwa mbinu zenu mfu.
 
Zitto Kumpa ubunge ni TUSI KUBWA ccm kama inamheshimu Wampe UWAZIRI MKUU
 
Mimi sio pro Mbowe,ila Hando angeanza na CCM iliyokaa zaidi ya miaka zaidi ya 64 na still matundu ya choo tunajengewa na USA,Korea n.k. Note TANU +ASP=CCM.
 
Ukweli mchungu huu
 
Yeye mbona anekaa redion muda wote huo tena akiwa muajiriwa, vijana wanamkutw, wanaanzisha venture zao Zina simama wanasepa. Yeye yupo tu....
 
actually,
ni maoni, ushauri, pendekezo na mtazamo mzuri na muhimu sana kwa maslahi mapana ya maendeleo na kushamiri kwa Demokrasia ndani ya vyama vya kisiasa, nchi na Taifa kwa ujumla πŸ’
 
Bob Makani alirithi chama kwa Edwin Mtei, Makani kaoa dada wa Mtei(SHEMEJI). Freeman Mbowe karithi kwa Makani, Mbowe kaoa mtoto wa Mtei (mkwe).

Hicho ni chama cha FAMILIA, mkitaka Mbowe atoke anzisheni chama chenu

Nanukuuu
 
Hizi radio ziache kutangaza na kusambaza habari au maoni binafsi ya watangazaji.Hili ni kosa kubwa na Chombo kinachosimamia habari kinatakiwa kiwachukulie hatua hii radio wasafi na watangazaji wake.Nahuyu Hando toka afiwe na mkewe naona ugonjwa wa afya ya akili umeongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…