Gerezani kuna nini maana Mbowe ananawiri kila kukicha

Kwanza anakaa kwenye room ambayo ni vip pia hali chakula cha gerezani anapelekewa chakula kutoka nyumbani kila siku

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
utawaweza wanasiasa hawa? anafadhiliwa na samiah huyo. Huyo ameshapangiwa bajeti yake kabisa, na pengine vyakula anavyolishwa ni vya gharama tofauti na wafungwa wengine.
 
Watoto wa mjini hao, ugomvi wao tuwaachie....ukute anakula biriani la kutoka feri kila siku.
 
Inategemea na kesi ulivyoipokea sabaya simuoni akinawiri kashavaa sare na anakesi nyingine tayari na yupo kisongo wote tunaijua kisongo ilivyo chakula kipo ila pale shuruba sana ndio maana wafugwa wengi pale wamekondeana
 
Waliompeleka huko hawana Amani moyo kama aliyo nayo Yeye.
 
Umeipatia sana, ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…