Gerson Msigwa, Chato hakuna Ikulu

Na ndio shida ilipo. Anataka kila kitu aamue yeye
 


Hebu waache watu wawe na freedom of speech...kisa ameoa kwao bas atetemeke kwa mwanaume mwenzake kisa!? Mwache Msigwa ni akili kubwa haitaki kunyenyekea..inaonekana huwajui watu wa huko asili yao .wale hawanaga cha kutetemekea mtu wana adabu sana ila wana kibri cha uzima..na hilo kabila la ukweni asili yao wanataka unyenyekee na wana dharau acha Msigwa awanyooshe wajitambue
 
Pamoja na hayo, kwenye hiyo baua hakuna sehemu imeandikwa ikulu ya Chato, ki uandishi yuko sahihi kabisa kwani kaandika cheo chake na chini kaandika Chato ikimaanisha wakati analipoti tukio alikuwa eneo la Chato hiyo
Wewe ndo umenena sawasawa kabisa, wengine humu ni ligi tu na kiufupi pale si Ikulu.
 
Nadhani ina maanisha kwamba uteuzi umefanyika Rais akiwa Chato na siyo Dar es salaam...



Cc: mahondaw
 
Barua imeandikwa na Gerson akiwa ikulu dar ila Magu ndo yupo chato

MONEY STOP NONSENSE
 
Alipo Rais na ofisi yake ipo hapo aweza idhinisha chochote au toa tamko au teua nk mentality ya kudhani ofisi ya Rais ni jengo lililo mahali Fulani sio sahihi
Ata jana alikuja nyumbani na moja kwa moja nasi tukawa ndani ya Ikulu.
Kesho atakua KKKT Kanisani...so kanisa litaondoka na itakua Ikulu.
PresidentialAffairs Act ya 1962 bila shaka inaelekeza ili.
 
Alipo Rais na ofisi yake ipo hapo aweza idhinisha chochote au toa tamko au teua nk mentality ya kudhani ofisi ya Rais ni jengo lililo mahali Fulani sio sahihi
Weka hicho kifungu cha katiba au sheria husika hapa....
 
Sawasawa kwenu lolote linawezakana sijui ile gharama iliyotumika kujenga Ikulu Dodoma yaweza kuwa matumizi mabaya ya fedha za umma kwa sababu Ikulu zimetapakaa nchi nzima sasa sijui mnatuambiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma ni makao makuu ya nchi, ndio itayokua ikulu kuu, pamoja na kuepo rais anaweza kubaki dar es salaam na akafanya kazi, achia mbali kuamua hata akae arusha kwa muda ataotaka yy na ruhusa ya "watu wake"..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huulizi ww ukienda kusoma nje mfano au hata hapahapa nchini kwa muda wa mwaka mmoja ,mkeo unamuacha nyumbani unapataje huo unyumba??


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikulu ni ofisii ya Raisi sio jengo .ofisi ya Rais inaweza kuwa hata kwenye hema au gari au laptop
Kumbe huwa tunabishana na wajinga! Kwahiyo Katiba iliyo fanunua ikulu ni nini haina maana? Silly mind!
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ,nimejikuta nakumbuka kwanini watu hawajasoma barua yote,hebu rudieni msiache hata nukta moja katika hiyo barua,Someni hadi tarehe,halafu mje hapo mwisho mjiulize katika upande wa sahihi huwa kinaandikwa nini,Watnzania bwana,sijui huwa tunakwama wapi
 
Pamoja na hayo, kwenye hiyo baua hakuna sehemu imeandikwa ikulu ya Chato, ki uandishi yuko sahihi kabisa kwani kaandika cheo chake na chini kaandika Chato ikimaanisha wakati analipoti tukio alikuwa eneo la Chato hiyo
Hwajaisoma barua wengi wamekimbilia kucomment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…